Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Am not defending anything, I am just telling you the bitter truth. Truth that you don't want to swallow. Nairobi has slums and that's a fact. But the truth is that ukishatoka nje ya hizo slums huwezi kutana na ujinga kama hizi (the pic below) ambazo ziko kila mahali Dar. Hata huende hadi wapi huwezi ona hizi takataka Nairobi kama sio ndani ya slumsView attachment 1368587View attachment 1368588
The same to us,hizo nyumba ulizoposti hapo zipo Dar es salaam,na hazina shida,ni nyumba nzuri tu..hata ukitaka luxury houses si masaki tu,wala oysterbay hata tandale,mbagala,vingunguti zipo...sasa kama 70% ya wakazi wa nairobi wanaishi kwa slum,it means slum ni mob kuzidi hizo hostel. .hiyo ni fact pia...
Nyie kwenye housing mlifeli,na hakuna utakayemdanganya hapa
 
diagnosis continues.(..danger sign...patient laughs at his own jokes)...continue with questioning-utabiri ulifanywa na nani?na hawa mungiki unataja..ni kina nani?
Umedandia treni kwa mbele...kama huelewi si ungekaa utulie uisome thread!!!!...kukurupuka ni dalili mbaya,ni dalili za watu waliofeli.. OK,mungiki ni nyani
 
BADO HUU UJINGA UNAENDELEA?IDADI YA MASHIDA KENYA IMEFIKIA WAPI?ETI SASA MALUMBANO NI JUU YA PROFITS ZA COMPANY A NA COMPANY B.WEWE MKENYA...KQ IS A BLUNDERING,SHORTSIGHTED COMPANY THAT HAS BEEN BADLY RUN FOR YEARS BY DIMWIT KENYAN AND EXPATRIATE EXECUTIVES.PLS DO NOT DEFEND IT.NA WEWE MTZ,WACHA KAMPUNI IONGEZE ROUTES NYINGII NA NDEGE ZINGINE KABLA HUJAANZA KUJIPIGA KIFUA.SAA HII IT IS JUST A TINY PLAYER IN THE AIRLINE INDUSTRY.

NITAENDELEA KUSEMA...HUU UZI HAUNA MANUFAA YOYOTE.KENYA KUNA MASHIDA CHUNGU NZIMA(YAMEORODHESHWA NA MAEMOJI KUWEKWA.HATA YAKO KWA WIKIPEDIA-TUMEONYESHWA NA WAJUAO).TZ PIA KUNA MASHIDA CHUNGU NZIMA(HAYA HATUWEZI KUYAONGEA HAPA--YAANI SI VIZURI SUPREME LEADER AONE YAKITAJWA)..


ETI BATTLE....BATTLE GANI?...HII NI BATTLE YA UJINGA VS UPUMBAVU
Wembe kenya mnanunua sh ngap?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hivyo revenue ni profit? is that how they teach you in danganyika?
U can't make profits without revenues, more revenues simply means more profits if costs are kept constant. As we are being told by that we were generating revenues of about 24bn per year but nowadays the corporation earns revenues of about 104bn can't u see that it goes on well? And in the case of profits, probably we shouldn't expect to get it in the short-run since it's a long-run business, just wait for at least five years and come here to argue.
 
what is with you people and slums....ziko nairobi na watz wamejaa gikomba ambayo ni slum area.na ni "mukuru kwa njenga"--at least jua spelling kama unataka kuitaja.Na for your information mtu wa slum anaweza kuwa na akili kuliko mtu wa suburb...hii inaonyesha vile unadharau binadamu ambaye hana bahati ya kuishi maeneo ya kifahari kama wewe.
Kwa hiyo we kwako wapi??.. mukuru,fuata nyayo,dandora,sina makosa au korogocho slum😂😂
 
Kwa hivyo revenue ni profit? 😂 😂 😂 is that how they teach you in danganyika?
Hebu angalia kutoka 24b revenue to 104b kwa mwaka mmoja unapimaje halo hebu just tel me🤣🤣🤣🤣🤣
 
haya tumekusikia au wamekusikia tayar! ukalale sasa, utuache!

naomba umsimreply huyu jamaa.. mwacheni ajiandikie tu lkn msimreply kbsa
Yah kuanzia ss hatopata reply yng labda apate kwengine, anatuchosha humu ndani, yn humu kuna madaktari kuna ma engineer kuna walimu kuna ma pilot humu kuna wafanyabishara, viongozi n.k yn there are lots of experts in here lkn bdo anaona watu wajinga ila yeye ndiye mwenye akili.
 
NATAKA KUKUONYESHA KENYA NA TZ NI 3RD WORLD.SO UKIANZA KUJIGAMBA NAKUONYESHA HAKUNA MAHALI UMEENDA..NA HII NI BATTLE YA KUPROVE NINI?BATTLE NI KITU AMBAACHO KITAKUWA NA MANUFAA MWISHOWE..WATU WA 3RD WORLD WANARINGA NA TUBARABARA NA TUAIRPORT?UPUZI MTUPU.

mnataka kuonyesha eti tz imeendaaa sanaaa...ho ho ho.angalia development indices za kimataifa...tz na kenya are BOTH BACKWARD,3RD WORLDCOUNTRIES TRYING TO DEVELOP THEIR INFRASTRUCTURE.PERIOD.NOTHING TO BRAG ABOUT.OK?HIYO NDIO NATAKA TUELEWE.SO NO KENYAN OR TZ CITIZEN SHOULD BRAG ABOUT IT.
Mnacomplain eti naongea vibaya...mnacompare eti tallest buildings......so hata kama ni 30 floors ama 90 floors hiyo itakusaidia na nini?kuna mgao wanakupatia wakiokota rent?huu tu ni upuuzi.
Jamani wakenya si ndo hutuambia kuwa wao ni "developed country"

Sasa umekuwaje mwanetu..mbona mna surrender mapema wakenya!
 
Ohh sisi GDP kubwa wamepewa msaada wa kupamabana na locust🤣🤣🤣👇👇👇

 
Back
Top Bottom