Si musubiri hata walau miaka mitano mbona muna presha sana airtanzania ina wanyima usingiziπ€£π€£Kama mko na uhakika nayo mbona financial statements za shirika lenu zinasomwa chini ya meza? π π π π Umewahi kuuliza swali hilo na ukajijibu? Do you know how much profits/losses Air Tanzania made in the last financial year? Najua hujui ila za KQ unajua vizuri tena sana
Hii hupendi kuona π€£π€£π€£ππππππYou can run but you can't hide. Paka makeup kabisa but that won't change this reality.
View attachment 1368762View attachment 1368763View attachment 1368764
Dar ya 2020. Sasa hiyo ya 90s ilikuwaje? π π
Yes expansion π€£π€£π€£π€£Wanapoiita Mathare phase 4 slum manaake kuna muendelezo auu![]()
See? I knew you would respond the way you did. Huna habari hata chembe kuhusu financial statements za shirika lenu ila za KQ unazipost hapa kila siku.Si musubiri hata walau miaka mitano mbona muna presha sana airtanzania ina wanyima usingiziπ€£π€£
Shirika limefufuliwa juzi tu limeanza kuwanyima usingizi
Ati ile profit mnajitamba nayo hutoka wapi?Hehe, eti wanapata faida, kumbe ni hasara tupu
View attachment 1368685
Tuonyeshe na faida ya ATCLAti ile profit mnajitamba nayo hutoka wapi?
CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Teargass@Tony254 pingli-nywee komora096 asvptx Tony254
Kq ni loss making company tena haina nafuu kabisa dunia nzima inaelewa na out of that miaka 35 ya service mumebakia kumiliki ndege tatu tuπ€£π€£π€£See? I knew you would respond the way you did. Huna habari hata chembe kuhusu financial statements za shirika lenu ila za KQ unazipost hapa kila siku.
Just to let you know, any business as big as ATCL must announce their financial statements at the end of EVERY financial year so hii yako ya kutuambia tungoje hadi miaka tano ziishe ni yako. That's the norm worldwide. It's simple: You do not know anything about ATCL apart from the fact that it stopped flying to certain destinations sooner than expected
Yani ifufuliwe juzi na faida uone leo akili yako inakaa kichwani kweli??ππππTuonyeshe na faida ya ATCL
Hehehe unahangaika na air Tanzania π€£π€£ππTuonyeshe na faida ya ATCL
Itabidi watuambie hayo majani ni ya namna gani πππ1bn ya majani......smh
Kama nchi ina njaa, majani ni size yao!1bn ya majani......smh
Hehehe unahangaika na air Tanzania π€£π€£ππ
Nakuuliza Kwa mara ya pili, revenue ndio faida? Do you know how to calculate profits and losses??Yani ifufuliwe juzi na faida uone leo akili yako inakaa kichwani kweli??ππππ
Revenue take imetoka kwenye billion 24 mpaka billion 104 within a year do u think it's a joke
Kufufuluwa jana ama juzi sio shida. Shida ni kwamba you can't confirm whether ATCL made profits or losses within that period. A very simple question that unfortunately you can't answerKq ni loss making company tena haina nafuu kabisa dunia nzima inaelewa na out of that miaka 35 ya service mumebakia kumiliki ndege tatu tuπ€£π€£π€£
Aira Tanzania limefufuliwa juzi na sasa ina ndege 11 hulu tatu zingine zinaingia mwaka huu jumla 14 kwann umekosa usingizi πππ
Na uzuri wa Air Tanzania wameimarisha soko la ndani vyema kabisa na sasa tumeangazia masoko ya nje kwa speed kubwa tulieni dawa iwaingieππ
Wewe nawe umetoka wapi na hizi lecture zako? Hii ni battle so if you don't like how we do it here, then just find your way outBADO HUU UJINGA UNAENDELEA?IDADI YA MASHIDA KENYA IMEFIKIA WAPI?ETI SASA MALUMBANO NI JUU YA PROFITS ZA COMPANY A NA COMPANY B.WEWE MKENYA...KQ IS A BLUNDERING,SHORTSIGHTED COMPANY THAT HAS BEEN BADLY RUN FOR YEARS BY DIMWIT KENYAN AND EXPATRIATE EXECUTIVES.PLS DO NOT DEFEND IT.NA WEWE MTZ,WACHA KAMPUNI IONGEZE ROUTES NYINGII NA NDEGE ZINGINE KABLA HUJAANZA KUJIPIGA KIFUA.SAA HII IT IS JUST A TINY PLAYER IN THE AIRLINE INDUSTRY.
NITAENDELEA KUSEMA...HUU UZI HAUNA MANUFAA YOYOTE.KENYA KUNA MASHIDA CHUNGU NZIMA(YAMEORODHESHWA NA MAEMOJI KUWEKWA.HATA YAKO KWA WIKIPEDIA-TUMEONYESHWA NA WAJUAO).TZ PIA KUNA MASHIDA CHUNGU NZIMA(HAYA HATUWEZI KUYAONGEA HAPA--YAANI SI VIZURI SUPREME LEADER AONE YAKITAJWA)..
ETI BATTLE.HII NI BATTLE YA UJINGA VS UPUMBAVU