Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Usijifanye hujui how the list is standing.
List of top five tallest buildings in East Africa.
1. Britam (Nairobi) -200m
2.Bank of Ethiopia (Addis) -198m
3. GTC I(Nairobi) -184m
4. UAP (Nairobi) - 163m
5. Zemen Bank (Addis) -160m

Nairobi =3
Addis Ababa = 2
Dar =Mayai
🤣🤣🤣🇹🇿🇹🇿🇹🇿👇👇👇
Screenshot_20200224-132824_Chrome.jpg
 
Tunawajua kwa ujuaji wala hamtusumbui, unajua tatizo la Kenyans ni ujuaji uliopitiliza yn kujua English kimtindo bac mmekuwa wajuaji kupitiliza amini nawaambia kwa ujuaji huu hamtakaa muwe na amani hata cku moja.
ujuaji ujuaji....hakuna siku utaona wakenya wanaweza discuss na watu wa uganda ama rwanda uzi kama huu...you see rwanda has the best and cleanest capital in africa..lakini kenyans just admire the rwandese--but we do not feel threatened and kenyans love working in kigali.the rwandans pia hawana shida na wakenya.pia wakenya wanaingia kampala bila wasiwasi na hakuna mkenya anaweza kuharass mganda akiwa nairobi.watz wamejaa gikomba na yule mp aliyejaribu kuongea juu ya hao watz alinyamazishwa mara moja.

lakini watz wako na shida na wakenya.hilo ni jambo linalowashangaza sisi wakenya.WHYY...Nikisoma huu uzi nimeanza kuelewa.inaitwa INFERIORITY COMPLEX...yes dear tz people..that is what you have.NI KWA NINI,WA-TZ WENZANGU?Wakenya hatuna complex yeyote na east african..we welcome everybody...ugandans,rwandese,tz,sudanese hata wasomali...na hawa wanatupiga.hata huo ujuaji mnasema..hatuelewi ..mbona ni nyinyi pekee mnaouona ?

mnatutakia mabaya eti hatutakuwa na amani?Mwenyezi ndiye kutuweka hai,sio nyinyi.mkitutakia mabaya Mwenyezi ako na idea zake.You will not develop as a nation if you harbour illwill towards your neighbors.

And yes...tunaelewa kizungu and we have no apologies to make...hata huyo mtu wa slum..DEAL WITH IT.Endeleeni kututakia mabaya...siku ya kiyama itafika tu..na tutanawiri kwa sababu Mungu SI ATHUMANI NA NDIYE ALIYETUWEKA HAPA DUNIANI SIO NYINYI!!!!
 
Moja ya tabia ya wakenya ni kupenda kuchokoza halafu wakipewa kichapo huanza kulalamika kana kwamba ameonewa kumbe wala,
Halafu unasema tunawatakia mabaya... Mabaya gani hayo tunawatakia? Au ni Tanzania ndio tumewatuma locust hapo Kenya?
Mabaya gani tunawatakia na wakati wakenya wengi wamejazana huku Tz tena wanaishi bila vibali vyovyote,
Mabaya gani tunawatakia wakati Wakenya wengi wapo kwenye hospital za Tanzania kutafuta matibabu bora,
Mabaya gani tunawatakia wakati kuanzia vyakula, matunda mnayokula hapo Kenya mengi yanatokea Tanzania,
Adui wa mkenya ni mkenya mwenzake trust me.
 
what is with you people and slums....ziko nairobi na watz wamejaa gikomba ambayo ni slum area.na ni "mukuru kwa njenga"--at least jua spelling kama unataka kuitaja.Na for your information mtu wa slum anaweza kuwa na akili kuliko mtu wa suburb...hii inaonyesha vile unadharau binadamu ambaye hana bahati ya kuishi maeneo ya kifahari kama wewe.
Slums everywhere Kuna wenzako wamekaa hapa kuonesha estates ambazo hata hazikaliwi na 1% ya wakenya badala ya kutuonesha slums zilizotapakaa Nairobi yote

Screenshot_20200224-164417.png
 
ujuaji ujuaji....hakuna siku utaona wakenya wanaweza discuss na watu wa uganda ama rwanda uzi kama huu...you see rwanda has the best and cleanest capital in africa..lakini kenyans just admire the rwandese--but we do not feel threatened and kenyans love working in kigali.the rwandans pia hawana shida na wakenya.pia wakenya wanaingia kampala bila wasiwasi na hakuna mkenya anaweza kuharass mganda akiwa nairobi.watz wamejaa gikomba na yule mp aliyejaribu kuongea juu ya hao watz alinyamazishwa mara moja.

lakini watz wako na shida na wakenya.hilo ni jambo linalowashangaza sisi wakenya.WHYY...Nikisoma huu uzi nimeanza kuelewa.inaitwa INFERIORITY COMPLEX...yes dear tz people..that is what you have.NI KWA NINI,WA-TZ WENZANGU?Wakenya hatuna complex yeyote na east african..we welcome everybody...ugandans,rwandese,tz,sudanese hata wasomali...na hawa wanatupiga.hata huo ujuaji mnasema..hatuelewi ..mbona ni nyinyi pekee mnaouona ?

mnatutakia mabaya eti hatutakuwa na amani?Mwenyezi ndiye kutuweka hai,sio nyinyi.mkitutakia mabaya Mwenyezi ako na idea zake.You will not develop as a nation if you harbour illwill towards your neighbors.

And yes...tunaelewa kizungu and we have no apologies to make...hata huyo mtu wa slum..DEAL WITH IT.Endeleeni kututakia mabaya...siku ya kiyama itafika tu..na tutanawiri kwa sababu Mungu SI ATHUMANI NA NDIYE ALIYETUWEKA HAPA DUNIANI SIO NYINYI!!!!
Hahaha 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Mbona sasa unalia
 
ataweza kucompete na Aziz (Taifa Gas) kweli?

hao Egyptians wanawekeza $25m, wakat Aziz aliweka $65m

point exactly is waongeze mzigo 🤣🤣

Hao ni factory ya kutengaza mitungi ya has bro
 
Moja ya tabia ya wakenya ni kupenda kuchokoza halafu wakipewa kichapo huanza kulalamika kana kwamba ameonewa kumbe wala,
Halafu unasema tunawatakia mabaya... Mabaya gani hayo tunawatakia? Au ni Tanzania ndio tumewatuma locust hapo Kenya?
Mabaya gani tunawatakia na wakati wakenya wengi wamejazana huku Tz tena wanaishi bila vibali vyovyote,
Mabaya gani tunawatakia wakati Wagonjwa kutoka Kenya wapo kwenye hospital za Tanzania kutafuta matibabu,
Mabaya gani tunawatakia wakati kuanzia vyakula, matunda mnayokula hapo Kenya mengi yanatokea Tanzania,
Adui wa mkenya ni mkenya mwenzake trust me.
ETI MMENGETUPEA KICHAPO?BOSS,NI VILE SINGEPENDA KUCHANGIA Huu UZI KWA VILE SIONI MANUFAA YAKE..othwise ningelist vitu nyingi sana ambazo ziko nairobi na hamna dar.lakini hii itakwa kama watoto wakishindana kuhusu mababa zao.THAT IS A JUVENILE DISCUSSION.WE LIKE ENGAGING NA WATU KAMA WANIGERIA.lakini hatuoni raha kama ni majirani zetu.hata mkituchukia wakenya hatuna shida na watu wa tz.tunapenda vile hamna ukabila...lakini hatuelewi kwa nini mnaua malbino(zeruzeru)

Nani amesema mambo ya nzige?zimetoka somali na ethiopia na sisi hatuna shida na hayo.eti wakenya wanaishi bila vibali?wapi...hata employees wa nation mnawafukuza?hao wanakuja hospitals ni wa border.watz pia wanakuja nairobi hospital.wale wakenya wako border ya ug pia wanaenda huko kwa vile ni cheaper.na wanalipa,sio kusaidiwa.hiyo chakula kutoka tz ni kununua ,sio kusaidiwa.hata mbao zinanunuliwa congo.inaitwa crossborder trade,na wanabiashara wanapiga hesabu zao.so usione kama ni usaidizi..wanabiashara wenu wanapenda kutuuzia tu. wakati mnazuia bidhaa za kenya kuingia tz sisi zenu mnauza kenya bila tashwishi.saa hii hakuna nyanya kenya nasikia waethiopia wataanza kutuzuia.you see we welcome all our neighbors kwa biashara,na kenya itadumu kwa sababu ya hiyo despite all our problems.we are open for business and we dont feel threatened by anybody.

and no, adui wa kenya ni wale watu wanatutakia mabaya.si umesoma tunaambiwa hatutakuwa na amani?
 
Nani amesema mambo ya nzige?zimetoka somali na ethiopia na sisi hatuna shida na hayo.eti wakenya wanaishi bila vibali?wapi...hata employees wa nation mnawafukuza?hao wanakuja hospitals ni wa border.watz pia wanakuja nairobi hospital.wale wakenya wako border ya ug pia wanaenda huko kwa vile ni cheaper.na wanalipa,sio kusaidiwa.hiyo chakula ni kununua ,sio kusaidiwa.hata mbao zinanunuliwa congo.inaitwa crossborder trade,na wanabiashara wanapiga hesabu zao.so usione kama ni usaidizi..wanabiashara wenu wanapenda kutuuzia tu.

and no, adui wa kenya ni wale watu wanatutakia mabaya.si umesoma tunaambiwa hatutakuwa na amani?
Narudia tena, Adui wa mkenya ni mkenya mwenzake trust me,
Wakenya wengi wasio na vibali wapo Tanzania ukitaka bisha tu,
Nenda naira land uone namna wakenya wenzako wanavyopewa kichapo mule Yaani mnakula kichapo huku na kule tena mnakula kichapo,
County nzima ya Taita Taveta huvuka boda kutafuta huduma bora za afya Tanzania,
Mnapigana kisa makabila karne hii huo si ujinga,
Mnaenda chooni kwa hisani ya wazungu, waarabu, warusi, wamarekani na Wachina,,
Kwenye kuwauzia chakula tuna soko kubwa sana kwenye nchi za SADC na ndio maana mwaka jana mlikuja kutuomba tuwauzie mahindi,
Hamna shida na nzige wakati hadi Muda huu counties kumi na tisa tayari zimeshapitiwa na serikali yenu imebaki kusema eti nzige wameshazeeka kwa hiyo hawatoharibu tena mazao,
Huoni mkikosa chakula sehemu pekee yenye uhakika wenu wa kupata chakula ni Tanzania au mtaenda kununua yale ya GMO yanayowaharibu akili wakenya,
Wakenya wenzako wakichokoza wala huoni ila wakijibiwa eti ndio unaona 😂😂😂
 
ETI MMENGETUPEA KICHAPO?BOSS,NI VILE SINGEPENDA KUCHANGIA Huu UZI KWA VILE SIONI MANUFAA YAKE..othwise ningelist vitu nyingi sana ambazo ziko nairobi na hamna dar.lakini hii itakwa kama watoto wakishindana kuhusu mababa zao.THAT IS A JUVENILE DISCUSSION.WE LIKE ENGAGING NA WATU KAMA WANIGERIA.lakini hatuoni raha kama ni majirani zetu.hata mkituchukia wakenya hatuna shida na watu wa tz.tunapenda vile hamna ukabila...lakini hatuelewi kwa nini mnaua malbino(zeruzeru)

Nani amesema mambo ya nzige?zimetoka somali na ethiopia na sisi hatuna shida na hayo.eti wakenya wanaishi bila vibali?wapi...hata employees wa nation mnawafukuza?hao wanakuja hospitals ni wa border.watz pia wanakuja nairobi hospital.wale wakenya wako border ya ug pia wanaenda huko kwa vile ni cheaper.na wanalipa,sio kusaidiwa.hiyo chakula kutoka tz ni kununua ,sio kusaidiwa.hata mbao zinanunuliwa congo.inaitwa crossborder trade,na wanabiashara wanapiga hesabu zao.so usione kama ni usaidizi..wanabiashara wenu wanapenda kutuuzia tu. wakati mnazuia bidhaa za kenya kuingia tz sisi zenu mnauza kenya bila tashwishi.saa hii hakuna nyanya kenya nasikia waethiopia wataanza kutuzuia.you see we welcome all our neighbors kwa biashara,na kenya itadumu kwa sababu ya hiyo despite all our problems.we are open for business and we dont feel threatened by anybody.

and no, adui wa kenya ni wale watu wanatutakia mabaya.si umesoma tunaambiwa hatutakuwa na amani?
Mkenya ni mkenya tu ata iweje, umeona ss ushaingia kwny mtego wa sifa km mlivyo
 
Narudia tena, Adui wa mkenya ni mkenya mwenzake trust me,
Wakenya wengi wasio na vibali wapo Tanzania ukitaka bisha tu,
Nenda naira land uone namna wakenya wenzako wanavyopewa kichapo mule Yaani mnakula kichapo huku na kule tena mnakula kichapo,
County nzima ya Taita Taveta huvuka boda kutafuta huduma bora za afya Tanzania,
Mnapigana kisa makabila karne hii huo si ujinga,
Mnaenda chooni kwa hisani ya wazungu, waarabu, warusi, wamarekani na Wachina,,
Kwenye kuwauzia chakula tuna soko kubwa sana kwenye nchi za SADC na ndio maana mwaka jana mlikuja kutuomba tuwauzie mahindi,
Hamna shida na nzige wakati hadi Muda huu counties kumi na tisa tayari zimeshapitiwa na serikali yenu imebaki kusema eti nzige wameshazeeka kwa hiyo hawatoharibu tena mazao,
Huoni mkikosa chakula sehemu pekee yenye uhakika wenu wa kupata chakula ni Tanzania au mtaenda kununua yale ya GMO yanayowaharibu akili wakenya,
Wakenya wenzako wakichokoza wala huoni ila wakijibiwa eti ndio unaona 😂😂😂
you see boss from your tone you still persist on that 'SUPERIOR,LECTURING TONE'
Hii ni aibu sana eti wataka kunionyesha vile watz wako juu ya kenya.wacha nikueleze polepole tu.....Hakuna kitu mtz anaweza dai ako juu ya mkenya...hakuna..hata wakenya huwa hawaoni wakishindana na watz.sisi tunawaona kama ni majirana.hii mashindano mko nayo ni ya kijinga tu boss.
nimesema hatuna shida vile nzige zilitoka ethiopia na somalia kumaanisha hatulaumu hizi nchi..
na inaonekana unajua sana mambo za kenya.... lakini wakenya hawajui sana news za tz.ujiulize ni kwa nini.tena unaonekana unafurahishwa sana na taabu ambazo ziko kenya.mimi nakwambia sisi hatufurahii shida zikikumba tz .tena jiulize ni kwa nini.

ni wazi hapa mindset ya watz ni kucheka wakenya wakiwa na shida.lakini mjue shida huwa zinafanya mwanadamu ajue mengi na hata kuongeza nguvu.kenya is not perfect na iko na shida mingi.but it is not going anywhere.hata ukifurahia mabaya na uweke emoji elfu moja za kicheko, kenya itasurvive na itakuwa even stronger.

laughing at kenya's problems betrays your poverty of thought,and confirms to me that kenya will overcome all its problems.After all God does not discrimnate,nor acquisce to the small mindedness of man.kwa hivya endelea na kicheko chako cha upumbavu.unlike you,i wish tz all the best.Like any wise man knows,it is good when a neighbor prospers.
 
Mkenya ni mkenya tu ata iweje, umeona ss ushaingia kwny mtego wa sifa km mlivyo
mkenya ni mkenya,mcongo ni mcongo..hakuna kitu umesema hapo boss.mtego gani?Kenyans are the most realistic people on earth.tuko na shida na atuogopi kuzitaja.kenya unatukana rais on twitter freely na unalala.we do not have a supreme leader who we hero worship kama Mungu.
Despite all these we do not feel superior to anybody.mtz akiongea na mkenya unaweza fikiri anaishi nchi ya first world.SISI WOTE TUKO 3RD WORLD...HATA TUKIJENGA KAIRPORT KAMOJA HAPA NA PALE.STOP WITH THE SUPERIOR ATTITUDE.HAMJAENDA POPOTE.AND LIBERATE YOUR MINDS MWACHE UTUMWA.ENZI ZA SUPREME LEADER ZILIISHA.BARABARA IKIJENGWA NI HAKI YAKO KAMA MLIPAUSHURU.ITISHA INGINE.USIANZE KUJIGAMBA...OK?
 
you see boss from your tone you still persist on that 'SUPERIOR,LECTURING TONE'
Hii ni aibu sana eti wataka kunionyesha vile watz wako juu ya kenya.wacha nikueleze polepole tu.....Hakuna kitu mtz anaweza dai ako juu ya mkenya...hakuna..hata wakenya huwa hawaoni wakishindana na watz.sisi tunawaona kama ni majirana.hii mashindano mko nayo ni ya kijinga tu boss.
nimesema hatuna shida vile nzige zilitoka ethiopia na somalia kumaanisha hatulaumu hizi nchi..
na inaonekana unajua sana mambo za kenya.... lakini wakenya hawajui sana news za tz.ujiulize ni kwa nini.tena unaonekana unafurahishwa sana na taabu ambazo ziko kenya.mimi nakwambia sisi hatufurahii shida zikikumba tz .tena jiulize ni kwa nini.

ni wazi hapa mindset ya watz ni kucheka wakenya wakiwa na shida.lakini mjue shida huwa zinafanya mwanadamu ajue mengi na hata kuongeza nguvu.kenya is not perfect na iko na shida mingi.but it is not going anywhere.hata ukifurahia mabaya na uweke emoji elfu moja za kicheko, kenya itasurvive na itakuwa even stronger.

laughing at kenya's problems betrays your poverty of thought,and confirms to me that kenya will overcome all its problems.After all God does not discrimnate,nor acquisce to the small mindedness of man.kwa hivya endelea na kicheko chako cha upumbavu.unlike you,i wish tz all the best.Like any wise man knows,it is good when a neighbor prospers.
Jamani watz naombeni huyu jamaa tumpuuze co kwmb hatuwezi kumjibu, hapana bali ameshasema huu uzi ni wa kipumbavu na chakushangaza anabadilika badilika kila mara, mwanzo alisema yeye haoni tofauti yyte kati ya Tz na kenya ghafla amebadilika anaanza kueleza utofauti uliopo, hii inaonesha jinsi gani hajiamini lkn pia hajitambui anataka nini, mana km alikuwa anataka battle angeingia ki battle battle na tungembatoa lkn ni muoga pia haeleweki anachotaka ss naombeni post zake tufanye kuziruka ajitekenye mwenyw nazani hilo litakuwa ndo jibu lake mpk ataondoka mwnyw cz hatuwezi kuwa na mtu anayechangia mada at the same time anakashifu uzi so please ndg zng tumuache aweweseke bando likiisha atatuliza mshono.
 
Yes those are the Nairobi Slums. They are the only areas comparable to your 'middle income' areas. Tanzania has no slums unlike Kenya. View attachment 1368339View attachment 1368340View attachment 1368341

Sent using Jamii Forums mobile app
yes yes tumekubali..kenya is one big slum...tz hakuna slum...tz iko na manyumba marefu afrika nzima...tz iko karibu kufika kuingia 1stworld na kenya iko 4th world...kuna kitu sitaja?tz kuna the biggest airport in africa,best rail,best game park,best president,best sportsteams,best everything,and all africans dream of going to live there...tz mmeshinda hoorayyyyyy
 
you see boss from your tone you still persist on that 'SUPERIOR,LECTURING TONE'
Hii ni aibu sana eti wataka kunionyesha vile watz wako juu ya kenya.wacha nikueleze polepole tu.....Hakuna kitu mtz anaweza dai ako juu ya mkenya...hakuna..hata wakenya huwa hawaoni wakishindana na watz.sisi tunawaona kama ni majirana.hii mashindano mko nayo ni ya kijinga tu boss.
nimesema hatuna shida vile nzige zilitoka ethiopia na somalia kumaanisha hatulaumu hizi nchi..
na inaonekana unajua sana mambo za kenya.... lakini wakenya hawajui sana news za tz.ujiulize ni kwa nini.tena unaonekana unafurahishwa sana na taabu ambazo ziko kenya.mimi nakwambia sisi hatufurahii shida zikikumba tz .tena jiulize ni kwa nini.

ni wazi hapa mindset ya watz ni kucheka wakenya wakiwa na shida.lakini mjue shida huwa zinafanya mwanadamu ajue mengi na hata kuongeza nguvu.kenya is not perfect na iko na shida mingi.but it is not going anywhere.hata ukifurahia mabaya na uweke emoji elfu moja za kicheko, kenya itasurvive na itakuwa even stronger.

laughing at kenya's problems betrays your poverty of thought,and confirms to me that kenya will overcome all its problems.After all God does not discrimnate,nor acquisce to the small mindedness of man.kwa hivya endelea na kicheko chako cha upumbavu.unlike you,i wish tz all the best.Like any wise man knows,it is good when a neighbor prospers.
Hakuna anayecheka matatizo ya Kenya humu ila nyie ndio huwa mna tabia ya kuzidharau nchi zingine za Africa na kujifanya eti mmezidi nchi za Africa wakati hata unaweza kuta raia wa Burundi ana maisha mazuri tu kuliko wewe hapo,
Wakenya wengi wana uwezo mdogo wa kufikiri na huwa tunajionea humu,
Wewe utakuwa mgeni humu au huwa huoni ujinga wa wakenya wenzako,
Wakenya gani hawajui news za Tz?
Sio Kenya tu... Nafahamu news za nchi zote za hapa EA 😂😂😂 Hivi unafahamu wakenya wengi sasa hivi Wanataka wapate rais kama JPM,
Kazi yenu kujisifu sijui mko na uchumi mkubwa wakati mmezidiwa sana vitu vingi vya msingi na Tz mfano huduma bora za afya, huduma ya maji Safi ( tumevuta maji kutoka ziwa Victoria hadi mikoani wakati hapo Kenya imeshindikana pia miradi mingi mikubwa inaendelea)
Tuna chakula cha kutosha,
Hapo Kenya miradi mingi na mikubwa ya umwagiliaji mumeifisadi,
Simchukii mkenya yoyote bali nachukia tabia zao za kijinga
Nina marafiki wengi tu wakikenya,
Wewe ni kati ya wakenya walioko brainwashed kijinga kama wenzako tu,
Kila nchi mliyopakana nayo lazima tu mkwaruzane kijinga.
 
Jamani watz naombeni huyu jamaa tumpuuze co kwmb hatuwezi kumjibu, hapana bali ameshasema huu uzi ni wa kipumbavu na chakushangaza anabadilika badilika kila mara, mwanzo alisema yeye haoni tofauti yyte kati ya Tz na kenya ghafla amebadilika anaanza kueleza utofauti uliopo, hii inaonesha jinsi gani hajiamini lkn pia hajitambui anataka nini, mana km alikuwa anataka battle angeingia ki battle battle na tungembatoa lkn ni muoga pia haeleweki anachotaka ss naombeni post zake tufanye kuziruka ajitekenye mwenyw nazani hilo litakuwa ndo jibu lake mpk ataondoka mwnyw cz hatuwezi kuwa na mtu anayechangia mada at the same time anakashifu uzi so please ndg zng tumuache aweweseke bando likiisha atatuliza mshono.
NATAKA KUKUONYESHA KENYA NA TZ NI 3RD WORLD.SO UKIANZA KUJIGAMBA NAKUONYESHA HAKUNA MAHALI UMEENDA..NA HII NI BATTLE YA KUPROVE NINI?BATTLE NI KITU AMBAACHO KITAKUWA NA MANUFAA MWISHOWE..WATU WA 3RD WORLD WANARINGA NA TUBARABARA NA TUAIRPORT?UPUZI MTUPU.

mnataka kuonyesha eti tz imeendaaa sanaaa...ho ho ho.angalia development indices za kimataifa...tz na kenya are BOTH BACKWARD,3RD WORLDCOUNTRIES TRYING TO DEVELOP THEIR INFRASTRUCTURE.PERIOD.NOTHING TO BRAG ABOUT.OK?HIYO NDIO NATAKA TUELEWE.SO NO KENYAN OR TZ CITIZEN SHOULD BRAG ABOUT IT.
Mnacomplain eti naongea vibaya...mnacompare eti tallest buildings......so hata kama ni 30 floors ama 90 floors hiyo itakusaidia na nini?kuna mgao wanakupatia wakiokota rent?huu tu ni upuuzi.
 
Back
Top Bottom