Kweli huu mwaka ni balaa,kama ulivyotabiriwakwani jf imegeuka na kuwa idara katika serikali ya tz?serikali ambayo ilikuwa imeifunga jf?maajabu haya.na ndiyo nimesema huu ni uzi wa kipumbavu.look,haina maana kusema mji A ni mzuri kuliko mji B.NI asilimia ngapi ya watu katika kila nchi inaishi mjini huku afrika?watu wengi wanaishi mashambani.kitu cha maana ni kuangalia jinsi wengi wanavyoishi huko mashambani.otherwise kusema eti leteni plans za cities ni upuuzi tu.watu wanakula hizo plans?
sasa wacha niseme na kimombo:
THERE IS NO SUPERIOR CITY BETWEEN DAR AND NAIROBI.BOTH ARE TYPICAL AFRICAN CITIES BESET BY THE SAME PROBLEMS FACED IN 3RD WORLD COUNTRIES.I SEE PICTURES OF ORDINARY,RUN-OF-THE MILL HIGHWAYS FLAUNTED ON THIS THREAD.I SEE ORDINARY AIRPORTS, STADIA,HEALTH AND EDUCATION FACILITIES,HOTELS,BLA BLA BLA.EVERYTHING I SEE IS NOTHING TO BRAG ABOUT,WHETHER IN DAR OR NAIROBI.......EVERYTHING BEING BOASTED ABOUT HERE IS ORDINARY GENTLEMEN,THIS IS BASIC INFRASTRUCTURE THAT SHOULD HAVE BEEN THERE AGES AGO-JUST AFTER INDEPENDENCE.GOOD PEOPLE,CAN YOU STOP THESE STUPID STUPID STUPID PISSING CONTESTS-ETI DAR VS NAIROBI...WHAT A LAME,SENSELESS,POINTLESS,HOPELESS,WORTHLESS,USELESS,BASELESS DISCUSSION!!!ENDENI GERMANY MUONE AUTOBAHN,TOKYO MUONE BULLET TRAIN,NEWYORK MUONE......WHAT YOU ARE PARADING HERE AS SIGNS OF "A" BEING BETTER THAN "B"IS REALLY BASICCCCC......HAPO HAKUNA KITU YA KURINGA SANA NAYO....AS AFRICANS WE SHOULD DEMAND MORE,NOT CELEBRATE TINY PROJECTS THAT ANY GOVERNMENT SHOULD PROVIDE TO ITS TAXPAYERS...IT IS A HIGH TIME THAT WE AFRICANS STOPPED CELEBRATING MEDIOCRITY!!!!!THINK BIG WENZANGU!!!
Ahaa..another funny one..huyu anataka maswali tujue ugonjwa umefika wapi..tumeanza na nani?id yangu umeona imebadilishwa?Mmeanza kubadilisha id ili mtoe povu😂😂🤣🤣
diagnosis continues.(..danger sign...patient laughs at his own jokes)...continue with questioning-utabiri ulifanywa na nani?na hawa mungiki unataja..ni kina nani?Kweli huu mwaka ni balaa,kama ulivyotabiriwa
Naona mungiki wameanza kukubali mapema hivi...😂😂👆👆👆👆
Kuna tatizo gani watu wakionyesha maendeleo kiduchu katika miji yao?kuna sheria gani imevunjwa?kwani jf imegeuka na kuwa idara katika serikali ya tz?serikali ambayo ilikuwa imeifunga jf?maajabu haya.na ndiyo nimesema huu ni uzi wa kipumbavu.look,haina maana kusema mji A ni mzuri kuliko mji B.NI asilimia ngapi ya watu katika kila nchi inaishi mjini huku afrika?watu wengi wanaishi mashambani.kitu cha maana ni kuangalia jinsi wengi wanavyoishi huko mashambani.otherwise kusema eti leteni plans za cities ni upuuzi tu.watu wanakula hizo plans?
sasa wacha niseme na kimombo:
THERE IS NO SUPERIOR CITY BETWEEN DAR AND NAIROBI.BOTH ARE TYPICAL AFRICAN CITIES BESET BY THE SAME PROBLEMS FACED IN 3RD WORLD COUNTRIES.I SEE PICTURES OF ORDINARY,RUN-OF-THE MILL HIGHWAYS FLAUNTED ON THIS THREAD.I SEE ORDINARY AIRPORTS, STADIA,HEALTH AND EDUCATION FACILITIES,HOTELS,BLA BLA BLA.EVERYTHING I SEE IS NOTHING TO BRAG ABOUT,WHETHER IN DAR OR NAIROBI.......EVERYTHING BEING BOASTED ABOUT HERE IS ORDINARY GENTLEMEN,THIS IS BASIC INFRASTRUCTURE THAT SHOULD HAVE BEEN THERE AGES AGO-JUST AFTER INDEPENDENCE.GOOD PEOPLE,CAN YOU STOP THESE STUPID STUPID STUPID PISSING CONTESTS-ETI DAR VS NAIROBI...WHAT A LAME,SENSELESS,POINTLESS,HOPELESS,WORTHLESS,USELESS,BASELESS DISCUSSION!!!ENDENI GERMANY MUONE AUTOBAHN,TOKYO MUONE BULLET TRAIN,NEWYORK MUONE......WHAT YOU ARE PARADING HERE AS SIGNS OF "A" BEING BETTER THAN "B"IS REALLY BASICCCCC......HAPO HAKUNA KITU YA KURINGA SANA NAYO....AS AFRICANS WE SHOULD DEMAND MORE,NOT CELEBRATE TINY PROJECTS THAT ANY GOVERNMENT SHOULD PROVIDE TO ITS TAXPAYERS...IT IS A HIGH TIME THAT WE AFRICANS STOPPED CELEBRATING MEDIOCRITY!!!!!THINK BIG WENZANGU!!!
na mimi pia niko na mtazamo wangu tofauti....huu uzi ni wa kiupumbavu....kwa nini niondoke?hizo ni hisia zangu na niko na haki ya kusema vile ninafikiria.sisemi watu ni wajinga...watu wanaweza kuwa ni wenye busara lakini nyakati zingine wanaweza kuongea mambo ambayo ni ya kijinga,ok?Hakuna kitu kibaya kama kuona watu wakipotoka ama wakifuata njia mbaya na ukose kuwaambia....kwa hivyo nitaendelea kusoma haya mambo ya kiupumbavi mpaka nichoke.nitaanza uzi baadaye...wacha nisome maoni tofauti kwanza...BUT I REPEAT (NAJUA WATU HAWAPENDI UKWELI)---A NEW AIRPORT IN DAR OR NAIROBI IS AN ORDINARY THING..NOTHING TO BRAG ABOUT OR BOAST....DOING SO IS THINKING SMALL...BADO KENYA NA TANZANIA NI THIRD WORLD COUNTRIES.OTHER COUNTRIES WALIJENGA AIRPORTS SAA HII WANAFIKIRIA MAMBO YA SATELLITE LAUNCHING STATIONS..TUKO NYUMAAAA.....Kuna tatizo gani watu wakionyesha maendeleo kiduchu katika miji yao?kuna sheria gani imevunjwa?
Okey wewe mwenye mtazamo wa tofauti ni kwanini basi usifungue Uzi uweke fikra zako uko tukufuate?
Usione watu ni wajinga bro wewe ndio waweza kua unafeli, kama humu kumejaa baseless,senseless,pointless discussion show us the way, open up a thread and express yourself with your tangible issues,otherwise achana na huu Uzi ASAP
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunawajua kwa ujuaji wala hamtusumbui, unajua tatizo la Kenyans ni ujuaji uliopitiliza yn kujua English kimtindo bac mmekuwa wajuaji kupitiliza amini nawaambia kwa ujuaji huu hamtakaa muwe na amani hata cku moja.na mimi niko na mtazamo wangu tofauti....huu uzi ni wa kiupumbavu....kwa nini niondoke?hizo ni hisia zangu na niko na haki ya kusema vile ninafikiria.watu wanaweza kuwa ni wenye busara lakini nyakati zingine wanaweza kuongea mambo mbayo ni ya kijinga,ok?Hakuna kitu kibaya kama kuona watu wakifuata njia mbaya na ukose kuwaambia....kwa hivyo nitaendelea kusoma hayo mambo ya kiupumbavi mpaka nichoke.nitaanza uzi baadaye...wacha nisome maoni tofauti kwanza...BUT I REPEAT (NAJUA WATU HAWAPENDI UKWELI)---A NEW AIRPORT IN DAR OR NAIROBI IS AN ORDINARY THING..NOTHING TO BRAG ABOUT OR BOAST....DOING SO IS THINKING SMALL...BADO KENYA NA TANZANIA NI THIRD WORLD COUNTRIES.OTHER COUNTRIES WALIJENGA AIRPORTS SAA HII WANAFIKIRIA MAMBO YA SATELLITE LAUNCHING STATIONS..TUKO NYUMAAAA.....
BUT EVEN MORE THAN INFRASTRUCTURE...WE SHOULD THINK ABOUT INNOVATING AND PROVIDING AFRICAN HOMEGROWN SOLUTIONS TO ISSUES..NOT POSTING ABOUT GERMAN PRIMEMINISTER OR CHINESE GIVING US THIS OR THAT.THESE ARE ALL EXPLOITERS..
yes i know mtakasirika ....LAKINI HUU NDIO UKWELI.
Sasa nangojea kuambiwa eti niende....niende wapi?hamtaki ukweli..nitawaambia mnikemee halafu mlale...
Jipe kazi sisi tuko hapa utahama wewena mimi pia niko na mtazamo wangu tofauti....huu uzi ni wa kiupumbavu....kwa nini niondoke?hizo ni hisia zangu na niko na haki ya kusema vile ninafikiria.sisemi watu ni wajinga...watu wanaweza kuwa ni wenye busara lakini nyakati zingine wanaweza kuongea mambo ambayo ni ya kijinga,ok?Hakuna kitu kibaya kama kuona watu wakipotoka ama wakifuata njia mbaya na ukose kuwaambia....kwa hivyo nitaendelea kusoma haya mambo ya kiupumbavi mpaka nichoke.nitaanza uzi baadaye...wacha nisome maoni tofauti kwanza...BUT I REPEAT (NAJUA WATU HAWAPENDI UKWELI)---A NEW AIRPORT IN DAR OR NAIROBI IS AN ORDINARY THING..NOTHING TO BRAG ABOUT OR BOAST....DOING SO IS THINKING SMALL...BADO KENYA NA TANZANIA NI THIRD WORLD COUNTRIES.OTHER COUNTRIES WALIJENGA AIRPORTS SAA HII WANAFIKIRIA MAMBO YA SATELLITE LAUNCHING STATIONS..TUKO NYUMAAAA.....
BUT EVEN MORE THAN INFRASTRUCTURE...WE SHOULD DEVELOP OUR MINDSETS AND START THINKING ABOUT INNOVATING AND PROVIDING AFRICAN HOMEGROWN SOLUTIONS TO ISSUES..NOT POSTING ABOUT GERMAN PRIME MINISTER SAYING THIS OR CHINESE GIVING US THIS OR THAT.THESE ARE ALL EXPLOITERS..
yes i know mtakasirika ....LAKINI HUU NDIO UKWELI....THINK BIG...COMPARE DAR OR NAIROBI TO RIO,SEOUL AND SO ON NDIO UGROW...AIM FOR THE STARS UFIKE MOON....This is why tz wanasifu tu eti simba na yanga na kenya eti gor afc..instead of comparing with and thinking of how to beat Esperance,TP Mazembe and so on.SMALLMINDEDNESS ndio itaua watu wa tz na kenya
Sasa nangojea kuambiwa eti niende....niende wapi?hamtaki ukweli..nitawaambia mnikemee halafu mlale...


aaa kama tu nimesema...naambiwa nihame...sing'oki ng'o,,,,,mimi niko hapa steady...siendi..naendelea kusoma huu uzi tu..ukipost eti barabara mpya dar ama nairobi(kitu ya kawaida)na uanze kujigamba nitakwambia kwa taratibu ........."hii ni haki yako,na ni kitu kinatakikana uwe nacho kwa sababu umelipa ushuru".halafu utakasirika lakini najua utabadilisha maono na uwache kupotoshwa kimawazo.
Tangu lini mTz akatumia nga badala ya ga kwenye "mnatoanga"I can see some people here are denying their mtu wao.
Na hii watu ya kufanya such nice work mnatoanga wapi
what is with you people and slums....ziko nairobi na watz wamejaa gikomba ambayo ni slum area.na ni "mukuru kwa njenga"--at least jua spelling kama unataka kuitaja.Na for your information mtu wa slum anaweza kuwa na akili kuliko mtu wa suburb...hii inaonyesha vile unadharau binadamu ambaye hana bahati ya kuishi maeneo ya kifahari kama wewe.Wakenya bhn kwa ujuaji hamjambo, alafu ili kuamunisha watu kwmb yupo nondo atatia English kdg mambo bam bam jioni anavua koti lake uyooo anarudi zake home Mukulu kwa njenga![]()