The great jay
JF-Expert Member
- Aug 8, 2017
- 635
- 669
uko serious unajudge mtz kwa kupitia battle ya jf narudia soma uzi mwanzo mwisho wakenya wana matusi,wanajigamba na ni wapiga kifua hapa jukwaani sasa na nyie tukiwa judge kuwa mkenya ni mtu wa matusi utachukuliaje io judgment ambayo nimeitoa kisa jfKweli mja hawachi kuelemika.Mimi sijajua mtz akiwa mtu wa matusi,kujipiga kifua na kujigamba.Shida zetuKenya haziwezi kutupatia nafasi ya kujichocha.
arusha wakenya wapo wengi wana miliki mpaka tuit ndogo ndogo kuna mwingine anakuambia arusha ni nzury na kaipenda yeye kama yeye kuliko hata dar na nai
ni ivi kwa ground vitu n tofauti sana wakenya na tz hata mtaani tunaishi kama tz wote ukitoa uongeaji wa kiswahili chenu ukinikuta mm na mkenya mtaani hutajua we are just very good on each hii n battle tu nothing personal
Sent using Jamii Forums mobile app