ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Loss making white elephant project🤣🤣🤣🤣Hehe, eti wanapata faida, kumbe ni hasara tupu
View attachment 1368685
yani hasara zaidi ya 700m ksh each month kwenye operations only
Loss making white elephant project🤣🤣🤣🤣Hehe, eti wanapata faida, kumbe ni hasara tupu
View attachment 1368685
Ngoja leo nikupe umuhimu wa huu uzi, huu uzi umesaidia sn watu kujua mambo yanayoendelea ktk nchi zote mbili kenya na Tz, watu tumejua pesa zetu walipa kodi jinsi zinavyotumika, lkn pia huu uzi unaangaliwa pia hata na watu wa serikalini unawaamsha na kuwapa morali pale wanapoona kuna kitu wenzetu wanacho cc hatuna hvyo kutia nguvu ili kuhakikisha jamii inanufaika, hv unavyoona mambo yanayopostiwa humu ndani uczan marais wetu Magufuli na Kenyatta hawaoni lazima watakuwa wanaona km co direct bac indirect, narudia tena huu ni moja kati ya nyuzi bora zaidi hapa Jf, watu tunajua mambo yanayoendelea nchini mwetu ukiachilia mbali hz kauli za vijembe tunazopigana humu ndani japo pia nazo zinasaidia kufanya watu wafunguke zaidi na uhalisia kupatikana, kupitia huu uzi watu wanajua majiji hata kabla ya kufika kwny hayo majiji ambapo itawasaidia mbeleni kuwa na taswira ya jiji fulani km atapata nafasi ya kutembelea jiji hilo, lkn pia watu wanajua misamiati ya lugha kiswahili na kiingereza, ngj niishie hapa na km hutaelewa umuhimu wa huu uzi bac ww utakuwa ni problem na unapaswa kupuuzwa.OK boss. Bado hujajibu swali.umeniita tu mjuaji.kwa unyenyekevu naomba tu kujibiwa
Is kibera the only thing from Nairobi you can compare with Dar 😂 😂 😂Nyumba nzuri sana yako tena zimejengwa kwa matofali na zina kila aina ya huduma za kijamii ona haya Mabanda sasa🤣🤣🤣👇👇👇
Alafu mzungu asije kutalii kwa hali hiiView attachment 1368619View attachment 1368620View attachment 1368621View attachment 1368622View attachment 1368623
Anza na huyukwanza boss,nimekosolewa nikaambiwa niangaliwe mambo ya vikomo..hata wewe nitakuambia hivyo hivyo .Unajua watu hawapendi kuambiwa ukweli,ndio nimeitwa mujuaji,na watu wananiita hivyo waktumia lugha ya matusi na kiburi.
Umesema eti wakenya waliongea matusi..mimi siwezi kuunga mkono mtu wa matusi,awe mkenya ama mtz.Wote nitawakemea na niseme washindwe
Pengine huu uzi ulipoanza ulikuwa ni fun na haukuwa serious.lakini ukiisoma KURASA ZA NYUMA utaona umekuwa wa kucheka eti kenya kuna slums,kenya kuna hii shida kenya kuna ile shida.Shida kama hizi ziko hata nchi za BRICS kama Brazil na India.Mimi siwezi kuchukua sehemu ya gazeti tanzania nianze kucheka nikiona shida fulani.Kufanya hivyo itakuwa USHETANI.Kucheka mashida ya jirani yangu ni UPUMBAVU MKUBWA.Na ndio nasisitiza ya kwamba huu uzi umefika mahala ukakosa mwelekeo na manufaa kabisa.Haijalishi ni watu wangapi wameusoma..hata watu bilioni mmoja wanaweza kufanya makosa.Na isitoshe,hizo shida mnacheka eti ziko kenya pengine zinafanya wapanue mawazo yao wakifikiria jinsi ya kuzitatua.WHAT DOES NOT KILL YOU MAKES YOU STRONGER.Na sio ukweli kudai eti najifanya smart.kwanza mi napenda sana mtu akinishauri.ile kitu sipendi ni utoto.
Kusema kuna mradi huu huku kenya ni sawa.Lakini nitakuwa nikiongea UTOTO nikisema huo mradi hauko tz.Maanake mradi wa kenya unaweza kusaidia mtz,Vilevile mradi wa tz unaweza kusaidia mkenya.Kwa mfano mradi wa gas tz unaweza kunifaidi kama mkenya maanake hiyo gas nitainunua(sio kusaidiwa) kwa bei nafuu hapa kenya.
Utaona nimekujibu bila kutumia matusi.Maanake mi ni mtu mzima na hakuna haja ya kukosea watu wengine heshima.Kama wenzangu wanaongea matusi mimi siwezi kufuata huo mfano mbaya.Nataka nionyeshwe mkenya ambaye alionekana akifurahia shida za Tz nimnyoroshe saa hii.

Hata hii pia iko zoomed View attachment 1368669
Mi nilikuwa nawaambia majani yao yale sio bure
Tanzania had better deal
Noma Asee
Kenyans mradi wenu ulitakiwa uwe half the price ya mradi wetu
View attachment 1368661View attachment 1368662
Ahsante sana kwa kuongea kama mtu mzima bila kuongezea matusi ,ujeuri na kiburi (bila sababu)kama wenzako.lakini inasaidia ukitenganisha post kwa kutumia paragraph.Ngoja leo nikupe umuhimu wa huu uzi, huu uzi umesaidia sn watu kujua mambo yanayoendelea ktk nchi zote mbili kenya na Tz, watu tumejua pesa zetu walipa kodi jinsi zinavyotumika, lkn pia huu uzi unaangaliwa pia hata na watu wa serikalini unawaamsha na kuwapa morali pale wanapoona kuna kitu wenzetu wanacho cc hatuna hvyo kutia nguvu ili kuhakikisha jamii inanufaika, hv unavyoona mambo yanayopostiwa humu ndani uczan marais wetu Magufuli na Kenyatta hawaoni lazima watakuwa wanaona km co direct bac indirect, narudia tena huu ni moja kati ya nyuzi bora zaidi hapa Jf, watu tunajua mambo yanayoendelea nchini mwetu ukiachilia mbali hz kauli za vijembe tunazopigana humu ndani japo pia nazo zinasaidia kufanya watu wafunguke zaidi na uhalisia kupatikana, kupitia huu uzi watu wanajua majiji hata km hawajafika kwny hayo majiji ambapo itawasaidia mbeleni kuwa taswira ya jiji fulani km atapata nafasi ya kutembelea jiji hilo, lkn pia watu wanajua misamiati ya lugha kiswahili na kiingereza, ngj niishie hapa na km hutaelewa umuhimu wa huu uzi bac ww utakuwa ni problem na unapaswa kupuuzwa.
🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇Is kibera the only thing from Nairobi you can compare with Dar 😂 😂 😂
🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇👇Is kibera the only thing from Nairobi you can compare with Dar 😂 😂 😂
Thanks magufuli kweli tumeona🤝🤝🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Mbn una entertain double standard mzee, we huoni wakenya wakicheka shida zilizo Tz au we inakuuma tu unapoona tukiongelea slums, ok bac ngj tuache kuongelea slum za kenyaAhsante sana kwa kuongea kama mtu mzima bila kuongezea matusi ,ujeuri na kiburi (bila sababu)kama wenzako.lakini inasaidia ukitenganisha post kwa kutumia paragraph.
sasa wacha nikujibu.husemi ukweli wote unaposema eti uzi unasaidia kuelemisha wasomaji.wee angalia post nyingi hapo juu.ni watz wanasherekea ufisadi,uvujaji wa pesa,sijui eti kuna slums slums huko kenya.hayo yakitajwa maemoji za kicheko zinawekwa na watz ndio hao wanafurahiiii..hii ndio mimi naita USHETANI.KAMA NIMESEMA,SIWEZI KUCHUKUA TAARIFA KUTOKA MAGAZETI INAYOHUSU SHIDA ZA TZ NA KUANZA KUCHEKA.HUU NI UJINGA MKUBWA.
Kama nimeelezea mwenzako,mradi wa tz hata mimi mkenya unwaeza kunifaidi.Lakini SIWEZI KUPATA FAIDA NIKICHEKA SHIDA ZA MTZ.HIZO SHIDA MNATAJA HAPA MKENYA ATAKWAMBIA WAZI ZIPO KENYA.Mwingine eti anaenda kupost wikipedia eti kuna slums!!Halafu anacheka sana...HII NI SMALLMINDEDNESS NA KUKOSA UTU.
SO,kwa ufupi,uzi umegeuka na umekuwa wa kucheka shida za kenya.Nami narudia huu ni UPUMBAVU MKUBWA NA MWISHOWE HAINA MANUFAA KWA YEYOTE.UTACHEKA NA UWEKE HIZO EMOJI,LAKINI KITAKUWA KICHEKO CHA UPUMBAVU TU.



Wanapoiita Mathare phase 4 slum manaake kuna muendelezo auu


You can run but you can't hide. Paka makeup kabisa but that won't change this reality.
Kama mko na uhakika nayo mbona financial statements za shirika lenu zinasomwa chini ya meza? 😂 😂 😂 😂 Umewahi kuuliza swali hilo na ukajijibu? Do you know how much profits/losses Air Tanzania made in the last financial year? Najua hujui ila za KQ unajua vizuri tena sanaNdio maana tunaongeza ndege kwasababu tuna uhakika nayo remb 3 yrs 11 brand new aircrafts cash deal and this year 3 more brand new aircrafts🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍👍👍👍👍
Najua kiingereza ndio inakupiga chenga. What I said is so straight forward hata nashangaa povu ni ya niniSasa hapo wewe umejitetea nini
Unazani hiyo Mt Kenya ndio mrefu kuliko au kwa maana naona bado unashindana na ukweli ni kheri unyamaze ufunge domo lako linalotoa harufu ya chooni
Sent using Jamii Forums mobile app