sio umeelezwa useme developing country ni kwamba neno 3rd world contry halina mean unazozitoa kulingana na sentesi zako maana inamaana nyingine afu nkuambie kitu mkuu u may think unafikiria smart sana au unatoa majibu mazuri sana yenye hekima ila n kwamba unayumba mkuu hii battle ina view 6m na reply kama zote sio kwamba walioko apa n mbwa hapana tunaakili timamu na tuna operate maisha tufauti na unavoweza hisi ila hii mkuu na rudia hii n for fun usichukulie kila kitu serious mkuu miji yetu bado japo sio bado sana ila bado bado ila haimanishi tuache kuenjoy the beauty of wat we have in our cities kisa sijui ulimwengu wa tatu naweza nkaishi dodoma au hata kenya eldoret na nika enjoy kuliko mtu alioko new York usijikite sana kuwaza mambo ya muhimu muda wote badala yake tuwaze namna ya kuenjoy kwa tulivo navo tuwekeze kwa ajili ya vizazi vijavo ila kwa asilimia kubwa na sisi tuenjoy wakati tupo hapa
japo sikatai wote watz na wakenya tunakosea kuwa address watu wa kwenye slum au tunawaonesha kama sio binadamu hususani kenya mnaruhusu mpaka wazungu kuwachukulia wenzenu kama vivutio inauma ila kwingine mm enyewe naona wakenya wanatukana wa tz soma comment za juu uko ivo naona tu kote wanatukanana hakuna ambae yuko kipole apa usione kama eti wa tz ndio wanatumia lugha za matusi peke yao
mara useme wakenya wanajiweza zote izo zinakuwa tu umeji mwambafy kamaa huna interest kabisa usingeonesha hata upande mmoja ni zaidi ya mwingine ungebase kote
ukiongelea concepts ya 3rd world na 2nd world na 1world naweza sema kenya n 1st maana ni mbepari na ndio wanajiita 1st world include us na western europe n washirika wao na 2nd n Soviet ,china na washirika wao 3rd n wasio fungamana na watu wote like tz not in us nor china remind u sisi hatuna full ubepari au ujamaa nimejaribu kukupa concept ya izo dunia ila kuhusu uchumi tunatumia LDC less development countries au MIC
kama uko apa for argument then be sio kuwa unaonesha kuwa ww n mtaalamu sana kwamba unatoa kitu kwa kuthink sana hapana ww na ss tuko normal tu usifanye kama una akili nyingi utazidi kujiaibisha we tulia kama huwezi kuwa view sio necessary ujibu maana wengine kwenye huu uzi tumejua sehemu fulani watu wamefikiwa na huduma hii mm sio fan wa gvt ya sasa hv tz ila nkiona kuna sehemu huko wamepata kituo cha afya na enjoy kidogo mama zetu watapata huduma nzury sasa hata kama tuko 3rd.... inamean tusipeane taarifa huu uzi ni more than a title maana watu wanaleta project hadi za countrywide
we may have nothing but we can still enjoy wat we have even if its nothing kwanza mambo mengi tunayofanya in both countries watenjoy under 18 huko mbeleni
Sent using
Jamii Forums mobile app