essao
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 532
- 329
auuuiii boss...here we go again...yaani hujasoma posts zangu..na ujifunze maana ya emoji maanake ni kama hujui....hakuna mahali nimesema uchumi wa kenya uko juu,hakuna mahali nimesema kuna kitu ya kenya imeshinda ya tz....hii ni kwa sababu itakuwa discussion ya UTOTO.Mimi nimeshinda nikrudia vile kenya kuna tuko na mashida mengi.tuko na ufisadi,ukabila,na mashida zingine chungu nzima.hakuna siku utaskia nikjigamba about anything in kenya.because as i said,me am one realistic kenyan.i know we are a third world country grappling with a million problems.na hao wakenya mnasema wanapenda kujigamba..nionyeshe mmoja nitamzima kama candle..Hakuna anayecheka matatizo ya Kenya humu ila nyie ndio huwa mna tabia ya kuzidharau nchi zingine za Africa na kujifanya eti mmezidi nchi za Africa wakati hata unaweza kuta raia wa Burundi ana maisha mazuri tu kuliko wewe hapo,
Wakenya wengi wana uwezo mdogo wa kufikiri na huwa tunajionea humu,
Wewe utakuwa mgeni humu au huwa huoni ujinga wa wakenya wenzako,
Wakenya gani hawajui news za Tz?
Sio Kenya tu... Nafahamu news za nchi zote za hapa EA 😂😂😂 Hivi unafahamu wakenya wengi sasa hivi Wanataka wapate rais kama JPM,
Kazi yenu kujisifu sijui mko na uchumi mkubwa wakati mmezidiwa sana vitu vingi vya msingi na Tz mfano huduma bora za afya, huduma ya maji Safi ( tumevuta maji kutoka ziwa Victoria hadi mikoani wakati hapo Kenya imeshindikana pia miradi mingi mikubwa inaendelea)
Tuna chakula cha kutosha,
Hapo Kenya miradi mingi na mikubwa ya umwagiliaji mumeifisadi,
Simchukii mkenya yoyote bali nachukia tabia zao za kijinga
Nina marafiki wengi tu wakikenya,
Wewe ni kati ya wakenya walioko brainwashed kijinga kama wenzako tu,
Kila nchi mliyopakana nayo lazima tu mkwaruzane kijinga.
HOWEVER,am amused to see watu wa tz wakijigamba vile wako na hii na hii na hii.halafu wanadai wakenya tunajigamba....NA ZILE VITU WANATAJA NI MALI YA MABWENYENYE
NA UNADAI TUNAKWARUZANA NA MAJIRANI?hakuna thread kama hii unaweza kuona wakenya wakiendeleza na waug ama warwanda ama wasudan na waethiopia..hakuna.
watz ndio wanaona eti sasa waanze malumbano kama haya..HUU NI UTOTO BOSS...WE do not feel THREATENED BY ANYBODY,DESPITE ALL OUR PROBLEMS.HIYO INAITWA CONFIDENCE BOSS.TUKO NA MASHIDA NA TUTASURVIVE TU.HATA MKICHEKA AU MLIE NA MAEMOJI MILIONI MOJA TUKO STRONG SANA
eti president wa tz tutake awe prezzo hapa kenya......hah hahahahahaha...wacha tu
FINAL MESSAGE..TUKO THIRD WORLD,TUNYENYEKEE,TUWACHE KUJIPIGA VIFUA BILA SABABU,TUWACHE KUOMBEA MAJIRANI WAPATE SHIDA NA MUNGU ATATUBARIKI!!!