Done.
Silii mkuu..ni vile nashangaa mtz kichwa kimefura,amejaa matusi na majigambo.Sikumjua akiwa hivi...Hahaha 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mbona sasa unalia
Karibu. Tulia ujifunze na uendelee kuelimika. Hiyo TZ uliyokuwa unaijua Wewe ni ile ya 90's. Sio hii ya Sasa.Kweli mja hawachi kuelemika.Mimi sijajua mtz akiwa mtu wa matusi,kujipiga kifua na kujigamba.Shida zetuKenya haziwezi kutupatia nafasi ya kujichocha.
auuuiii boss...here we go again...yaani hujasoma posts zangu..na ujifunze maana ya emoji maanake ni kama hujui....hakuna mahali nimesema uchumi wa kenya uko juu,hakuna mahali nimesema kuna kitu ya kenya imeshinda ya tz....hii ni kwa sababu itakuwa discussion ya UTOTO.Mimi nimeshinda nikrudia vile kenya kuna tuko na mashida mengi.tuko na ufisadi,ukabila,na mashida zingine chungu nzima.hakuna siku utaskia nikjigamba about anything in kenya.because as i said,me am one realistic kenyan.i know we are a third world country grappling with a million problems.na hao wakenya mnasema wanapenda kujigamba..nionyeshe mmoja nitamzima kama candle..
HOWEVER,am amused to see watu wa tz wakijigamba vile wako na hii na hii na hii.halafu wanadai wakenya tunajigamba....NA ZILE VITU WANATAJA NI MALI YA MABWENYENYE
NA UNADAI TUNAKWARUZANA NA MAJIRANI?hakuna thread kama hii unaweza kuona wakenya wakiendeleza na waug ama warwanda ama wasudan na waethiopia..hakuna.
watz ndio wanaona eti sasa waanze malumbano kama haya..HUU NI UTOTO BOSS...WE do not feel THREATENED BY ANYBODY,DESPITE ALL OUR PROBLEMS.HIYO INAITWA CONFIDENCE BOSS.TUKO NA MASHIDA NA TUTASURVIVE TU.HATA MKICHEKA AU MLIE NA MAEMOJI MILIONI MOJA TUKO STRONG SANA
eti president wa tz tutake awe prezzo hapa kenya......hah hahahahahaha...wacha tu
FINAL MESSAGE..TUKO THIRD WORLD,TUNYENYEKEE,TUWACHE KUJIPIGA VIFUA BILA SABABU,TUWACHE KUOMBEA MAJIRANI WAPATE SHIDA NA MUNGU ATATUBARIKI!!!
Walikimbia eh?Kwa sababu ya matusi?Boss ukinitusi unafikiri nitatotoroka?Kwanza mimi huwa situsi watu.unanipea facts na reasoned arguments nitakuheshimu(lakini sitakuogopa).Lakini eti unitusi nikimbie....unafikiri ni matusi mangapi nimeyasikia?Ukiangalia hii battle (kwanza ni battle ya nini?) nimeuliza hizi hoja watu wanatoa,zina manufaa gani?Hakuna mtu ambaye amenijibu.Nimeambiwa tu hoo wakenya ni wajuaji,ho sijui wanajifanya hooo sijui .na wale watz wananiambia wananitusi na kujigamba tuuu.Katika hii website ya jf kusema ukweli sijaona discussion ya kuvunja moyo kaa hii...Na kamba yako mguuni umeingia kwa pupa kwenye hii battle,ungewauliza kina janerose na mk24 kilichowafanya wakaikimbia hii battle halafu ndio uchangie
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa watu wananiambia naongea vibaya na eti hii discussion ina manufaa..Sasa hawa majamaa wawili wakiafrika wanatukanana kwa sababu ya urefu ya milima.Kwani utoto ni nini?Na siulizi kwa ubaya..Milima itafanya waafrika wawili wakoseane heshima namna hii jameni?Milima iliyowekwa duniani na Mola wetu tuwe tunaitazama na kufurahia kazi ya mikono yake?Huu ubaradhuli wote ni wa nini?Sasa hapo wewe umejitetea nini
Unadhani hiyo mt Kenya ndio mrefu kuliko au kwa maana naona bado unashindana na ukweli ni kheri unyamaze ufunge domo lako linalotoa harufu ya chooni
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha kinachonishangaza ni ukimya wa wakenya wenzakeNa kamba yako mguuni umeingia kwa pupa kwenye hii battle,ungewauliza kina janerose na mk24 kilichowafanya wakaikimbia hii battle halafu ndio uchangie
Sent using Jamii Forums mobile app
Kadandia treni kwa mbele
LOL Em nitajie eneo lililopigwa hiyo picture ya kwanzaYes those are the Nairobi Slums. They are the only areas comparable to your 'middle income' areas. Tanzania has no slums unlike Kenya. View attachment 1368339View attachment 1368340View attachment 1368341
Sent using Jamii Forums mobile app
sio umeelezwa useme developing country ni kwamba neno 3rd world contry halina mean unazozitoa kulingana na sentesi zako maana inamaana nyingine afu nkuambie kitu mkuu u may think unafikiria smart sana au unatoa majibu mazuri sana yenye hekima ila n kwamba unayumba mkuu hii battle ina view 6m na reply kama zote sio kwamba walioko apa n mbwa hapana tunaakili timamu na tuna operate maisha tufauti na unavoweza hisi ila hii mkuu na rudia hii n for fun usichukulie kila kitu serious mkuu miji yetu bado japo sio bado sana ila bado bado ila haimanishi tuache kuenjoy the beauty of wat we have in our cities kisa sijui ulimwengu wa tatu naweza nkaishi dodoma au hata kenya eldoret na nika enjoy kuliko mtu alioko new York usijikite sana kuwaza mambo ya muhimu muda wote badala yake tuwaze namna ya kuenjoy kwa tulivo navo tuwekeze kwa ajili ya vizazi vijavo ila kwa asilimia kubwa na sisi tuenjoy wakati tupo hapaYap..Guilty as charged.Nairobi kuna slums.Tunajua hata bila kuingia wikipedia.Sio siri mkuu.Kenya ni 3rd world(nimeelezwa niseme developing country).So what is your point?