ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
ComorosImebaki tu ikichapa route za ndani? ๐ ๐ ๐
Zambia
Uganda
Zimbabwe
India
Burundi
China soon
Tulieni sindano iwaingie ๐๐๐๐
Miaka 3 air Tanzania ina ndege 11 mpya na tatu zinaingia mwaka huu
Kq ina miaka 35 in service ina ndege 3 huoni maajabu๐คฃ๐คฃ๐คฃ bila kusahau loss making kama kawa