Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na huu uzi ulitokapi? Ni utoto mtupu. Hii pissing contest itafaidi nani? Mi ni mkenya na sijawai kuona idea ya kitoto kama hii. Kila mji uko na uzuri na ubaya wake. Otherwise wale watz wamejaa nairobi hasa gikomba hawangeonekana huko.kwa hivyo wale wanaendeleza hii thread wanajionyesha vile wako na umaskini wa kiakili. Yes. Nimesema.east africans kweli tuko na ujinga !!!
Ulipokua unaandika huu upupu ulikua kwenye swaga hzi🤣🤣🤣👇👇👇👇👇
FB_IMG_1582539120937.jpg
 
Na huu uzi ulitokapi? Ni utoto mtupu. Hii pissing contest itafaidi nani? Mi ni mkenya na sijawai kuona idea ya kitoto kama hii. Kila mji uko na uzuri na ubaya wake. Otherwise wale watz wamejaa nairobi hasa gikomba hawangeonekana huko.kwa hivyo wale wanaendeleza hii thread wanajionyesha vile wako na umaskini wa kiakili. Yes. Nimesema.east africans kweli tuko na ujinga !!!
Na bado mtaomba sn excuse ila cc hatutawaacha cz mmetutukana miaka mingi sana cc tukiwa tumenyamaza tu, tunachotaka mnyooshe mikono juu ndo tutawaacha
 
Ss we ndio mjinga wa mwisho, km unaona huu uzi ni wa kijinga kipi kimekufanya upite? Yaani kweli we ni chizi sn, watu wenye akili zao wapo humu af we kenge mmoja kutoka kibera unakuja kuongea ushuzi humu, mjinga kweli we, and this stupid shows the clear definition of the word kunyan.
Sawa.you have proved wewe ni dume kwa sababu unaweza kuongea matusi.
Wanaoishi kibera ni watu pia. Mi siwezi kuja level yako boss. Eti kunyan, eh. Hapo Umejaribu kufikiria .najua umechoka. Pumzika kidogo sasa. Ama uko na more insults? Tuma. Na kama kuna mwingine anayetaka kunitukana, tafadhali weka matusi yote hapa. Ni vizuri kutoa uchafu wote kichwani ndiyo upone. Haya.. Rushaaaaa! Nataka watu wapone. Kupenda Matusi ni psychological problem na kazi yangu ni kuwatibu... .
 
Na bado mtaomba sn excuse ila cc hatutawaacha cz mmetutukana miaka mingi sana cc tukiwa tumenyamaza tu, tunachotaka mnyooshe mikono juu ndo tutawaacha
Ok.pole kama kuna wakenya ambao wametukana watz. Kutukana mwafrika mwenzako haifai kabisa.
 
Sawa.you have proved wewe ni dume kwa sababu unaweza kuongea matusi.
Wanaoishi kibera ni watu pia. Mi siwezi kuja level yako boss. Eti kunyan, eh. Hapo Umejaribu kufikiria .najua umechoka. Pumzika kidogo sasa. Ama uko na more insults? Tuma. Na kama kuna mwingine anayetaka kunitukana, tafadhali weka matusi yote hapa. Ni vizuri kutoa uchafu wote kichwani ndiyo upone. Haya.. Rushaaaaa! Nataka watu wapone. Kupenda Matusi ni psychological problem na kazi yangu ni kuwatibu... .
Fanya hv, humu jamii forum kuna jukwaa la elimu fanya kwenda kule ukatoe elimu humu hatuhitaji huduma hyo.
 
Sawa.you have proved wewe ni dume kwa sababu unaweza kuongea matusi.
Wanaoishi kibera ni watu pia. Mi siwezi kuja level yako boss. Eti kunyan, eh. Hapo Umejaribu kufikiria .najua umechoka. Pumzika kidogo sasa. Ama uko na more insults? Tuma. Na kama kuna mwingine anayetaka kunitukana, tafadhali weka matusi yote hapa. Ni vizuri kutoa uchafu wote kichwani ndiyo upone. Haya.. Rushaaaaa! Nataka watu wapone. Kupenda Matusi ni psychological problem na kazi yangu ni kuwatibu... .
Pia km wewe ni daktari humu jf kuna jukwaa la tiba.
 
My Advice:Huu Uzi achana nao tu....endelea na mishe zako usipate tabu ya kutumia energy nyingi ya maneno..

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni aibu waafrika kutumia wakati wao na mada ambazo hazina maana.so,hata tukisema dar ni nzuri kuliko nairobi, itasaidia maisha yako vipi? Na tafadhali Jibu hili swali bila matusi.matusi ni ya watoto ama wale watu ambao hawajakomaa kiakili.
 
Pia km wewe ni daktari humu jf kuna jukwaa la tiba.
Udaktari hauna jukwaa, wakati ama Mahali .wagonjwa wako kila mahali.kutukanana kwa mtandao ni dalili ya ugonjwa wa akili(ni aina ya cyberbullying).inaashiria kuwa mtu ako na mental issues kama stress, low selfesteem na zinginezo. kila baada ya kutoa matusi,ni vizuri kunywa glasi nne za maji,relax, kisha ulale 2 hours. Ukiendelea hivyo miezi miwili uchafu utakuwa umeisha kichwani.Next patient.....
 
Kwenye sector ya umeme, maji, barabara, airports, ports Tanzania tunayo miradi mingi kuliko miradi yote iliopo kwenye nchi zote za ukanda huu

Kama unataka ucheke waambie wakenya walete miradi yao ya barabara yenye urefu zaidi ya kilometers 100 kutoka kwenye counties mbali mbali, wakikuletea miwili tu naondoka jf leo hii
You want two??
1)Kibwezi mutomo kitui road 472km
2)Mau mau road 540km
 
Huwa mnapost Na kukejeli Picha ya mkoteni Ukiwa Posta Dar na Bodaboda ,

Sasa hawa kwenu wanaendesha nini hapo CBD .

View attachment 1367952

View attachment 1367953

View attachment 1367954

View attachment 1367956

Sent from my iPhone using JamiiForums
Tena nakumbuka Walker255 aliwaambia kuna tatizo gani mtu akijitaftia riziki yake kwa nguvu zake?walisema huwezi kuta vitu kama hivyo Nairobi mjini kati...

Maneno kama hayo leo waje waseme apo Ni Arushaau DAR cbd basi cc Teargass

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom