Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kaka nilitaka nipite kimya kimya nibaki nayo moyoni kuhusu hizo members za kibera Ila wacha nitoe neno tu kuhusu huyo engender wao wa kuzibua mitaro mitaani aliyetupia suti kubwa na kofia yake ya kuwindia farasi......nimecheka sanaPicha ni nzuri ila tatizo hao watu watatu wanaishi kwa slum za kibera
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app