Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The only simulator in east Africa πŸ˜€πŸ˜€πŸ‘‡πŸ‘‡

IMG_20200224_150050.jpg
IMG_20200224_150052.jpg
IMG_20200224_150043.jpg
IMG_20200224_150048.jpg



 
kwani jf imegeuka na kuwa idara katika serikali ya tz?serikali ambayo ilikuwa imeifunga jf?maajabu haya.na ndiyo nimesema huu ni uzi wa kipumbavu.look,haina maana kusema mji A ni mzuri kuliko mji B.NI asilimia ngapi ya watu katika kila nchi inaishi mjini huku afrika?watu wengi wanaishi mashambani.kitu cha maana ni kuangalia jinsi wengi wanavyoishi huko mashambani.otherwise kusema eti leteni plans za cities ni upuuzi tu.watu wanakula hizo plans?

sasa wacha niseme na kimombo:
THERE IS NO SUPERIOR CITY BETWEEN DAR AND NAIROBI.BOTH ARE TYPICAL AFRICAN CITIES BESET BY THE SAME PROBLEMS FACED IN 3RD WORLD COUNTRIES.I SEE PICTURES OF ORDINARY,RUN-OF-THE MILL HIGHWAYS FLAUNTED ON THIS THREAD.I SEE ORDINARY AIRPORTS, STADIA,HEALTH AND EDUCATION FACILITIES,HOTELS,BLA BLA BLA.EVERYTHING I SEE IS NOTHING TO BRAG ABOUT,WHETHER IN DAR OR NAIROBI.......EVERYTHING BEING BOASTED ABOUT HERE IS ORDINARY GENTLEMEN,THIS IS BASIC INFRASTRUCTURE THAT SHOULD HAVE BEEN THERE AGES AGO-JUST AFTER INDEPENDENCE.GOOD PEOPLE,CAN YOU STOP THESE STUPID STUPID STUPID PISSING CONTESTS-ETI DAR VS NAIROBI...WHAT A LAME,SENSELESS,POINTLESS,HOPELESS,WORTHLESS,USELESS,BASELESS DISCUSSION!!!ENDENI GERMANY MUONE AUTOBAHN,TOKYO MUONE BULLET TRAIN,NEWYORK MUONE......WHAT YOU ARE PARADING HERE AS SIGNS OF "A" BEING BETTER THAN "B"IS REALLY BASICCCCC......HAPO HAKUNA KITU YA KURINGA SANA NAYO....AS AFRICANS WE SHOULD DEMAND MORE,NOT CELEBRATE TINY PROJECTS THAT ANY GOVERNMENT SHOULD PROVIDE TO ITS TAXPAYERS...IT IS A HIGH TIME THAT WE AFRICANS STOPPED CELEBRATING MEDIOCRITY!!!!!THINK BIG WENZANGU!!!
 
Na huu uzi ulitokapi? Ni utoto mtupu. Hii pissing contest itafaidi nani? Mi ni mkenya na sijawai kuona idea ya kitoto kama hii. Kila mji uko na uzuri na ubaya wake. Otherwise wale watz wamejaa nairobi hasa gikomba hawangeonekana huko.kwa hivyo wale wanaendeleza hii thread wanajionyesha vile wako na umaskini wa kiakili. Yes. Nimesema.east africans kweli tuko na ujinga !!!
Mmeanza kubadilisha id ili mtoe povuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£
 
Hahaha so 31 = britam
Usijifanye hujui how the list is standing.
List of top five tallest buildings in East Africa.
1. Britam (Nairobi) -200m
2.Bank of Ethiopia (Addis) -198m
3. GTC I(Nairobi) -184m
4. UAP (Nairobi) - 163m
5. Zemen Bank (Addis) -160m


Nairobi =3
Addis Ababa = 2
Dar =Mayai
 
Back
Top Bottom