Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
Kaka tizima shimo la panya.....umo ikitokea distraction ngoma inakwama humo humo hatoki mtu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka tizima shimo la panya.....umo ikitokea distraction ngoma inakwama humo humo hatoki mtu
lwiva aliwaambia wakawa wanamuona anajifariji, ss katikati ya mwaka huu hii battle itaanza kupoteza uhalisia rasmiNaona utabiri wa watu umetimia.. 2020 manyang'au yamesepa kusiko julikana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kimoja kimoja kinazimika mwisho wa siku watamove humu na kubaki kuwa watazamaji ,,,kwani itafikia kipindi hata story za GDP zitakufilia mbali....huu ndiyo ukweli....Hutaskia tena habari ya airport wala habari ya ndegeutakachoskia humu ni ushuzi wa GDP
Wewe unaona kubwa Wale wataalamu wa kuhesabu floors kwenye picha wanakwambia hapo double stuck haipiti.Hii tunnel mbn kubwa sana duuh
Inaitwa unknown way......Naona utabiri wa watu umetimia.. 2020 manyang'au yamesepa kusiko julikana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivyo ndivyo yapaswa Angalia katunnel ka Kenya ni tundu LA panyaHii tunnel mbn kubwa sana duuh
Kadri siku zinavyosogea...lwiva aliwaambia wakawa wanamuona anajifariji, ss katikati ya mwaka huu hii battle itaanza kupoteza uhalisia rasmi
Mtagi ujugu twende tukamfundishe alicia keys kwamba kiswahili ni kitanzania😂
Wewe unaona kubwa Wale wataalamu wa kuhesabu floors kwenye picha wanakwambia hapo double stuck haipiti.

watuoneshe tunnels zaoMaji ni ya shida airport tena kwenye vyoo😂😂😂Hutaskia tena habari ya airport wala habari ya ndege😁😁😁😁 utakachoskia humu ni ushuzi wa GDP
Sijui hali inakuaje aisee🤣🤣🤣🤣Maji ni ya shida airport tena kwenye vyoo😂😂😂
Sasa kama airport tu inakuwa na tatizo la maji vipi kuhusu mashinani 😂😂😂Sijui hali inakuaje aisee🤣🤣🤣🤣
My Advice:Huu Uzi achana nao tu....endelea na mishe zako usipate tabu ya kutumia energy nyingi ya maneno..Na huu uzi ulitokapi? Ni utoto mtupu. Hii pissing contest itafaidi nani? Mi ni mkenya na sijawai kuona idea ya kitoto kama hii. Kila mji uko na uzuri na ubaya wake. Otherwise wale watz wamejaa nairobi hasa gikomba hawangeonekana huko.kwa hivyo wale wanaendeleza hii thread wanajionyesha vile wako na umaskini wa kiakili. Yes. Nimesema.east africans kweli tuko na ujinga !!!
Ss we ndio mjinga wa mwisho, km unaona huu uzi ni wa kijinga kipi kimekufanya upite? Yaani kweli we ni chizi sn, watu wenye akili zao wapo humu af we kenge mmoja kutoka kibera unakuja kuongea ushuzi humu, mjinga kweli we, and this stupid shows the clear definition of the word kunyan.Na huu uzi ulitokapi? Ni utoto mtupu. Hii pissing contest itafaidi nani? Mi ni mkenya na sijawai kuona idea ya kitoto kama hii. Kila mji uko na uzuri na ubaya wake. Otherwise wale watz wamejaa nairobi hasa gikomba hawangeonekana huko.kwa hivyo wale wanaendeleza hii thread wanajionyesha vile wako na umaskini wa kiakili. Yes. Nimesema.east africans kweli tuko na ujinga !!!