🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Anawakaribisha hapo anawaambia karibuni sana anasisitiza Ajira kwa watanzania🤣🤣🤣mbona gestures za huyu mama zimekaa conflicting? anakataa nn hapo?
I agree. It appears kama wanamuomba kitu halafu hatakimbona gestures za huyu mama zimekaa conflicting? anakataa nn hapo?
Hii picha haijakaa vizuri kwa kweli kama mtu wa ku-promote investment!I agree. It appears kama wanamuomba kitu halafu hataki
Ila hawa watu wa habari nao ni wapuuzi na makanjanja, yaani katika picha zote hiyo ndo wameona ya kuweka? ya mabishano? mbona haiendani na habari husika?Huyo jamaa pembeni naye ishara ya kuomba msamaha ikionekana...
Hao kuna kitu itakuwa walifanya wrong
Sent using Jamii Forums mobile app
IPO hivyo..I agree. It appears kama wanamuomba kitu halafu hataki
WamezinguaIla hawa watu wa habari nao ni wapuuzi na makanjanja, yaani katika picha zote hiyo ndo wameona ya kuweka? ya mabishano? mbona haiendani na habari husika?
Hutaskia tena habari ya airport wala habari ya ndege😁😁😁😁 utakachoskia humu ni ushuzi wa GDPSiku hizi majirani hawaleti tena zile story za airport...
Mmekwama wapi majirani
Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani kama alikuwa amekasirika, unajua kwny maongezi wkt mwngne mtu unaweza ukawa unatoa mcctzo fulani hv af by the time upo kwenye mcctzo mtu akikupga pcha unaweza kuonekana km umekacrika kutegemea na pozi zako, ukitaka kupata picha kamili muangalie yule wa pili pozi lake linaonekana kama anaeshukuru kitu.Hii picha haijakaa vizuri kwa kweli kama mtu wa ku-promote investment!
Hii tunnel mbn kubwa sana duuh