Ni noma........Teargass kama ulikua hujui hio ndio simulator ya kwanza Africa mashariki na Kati inayofundisha marine sectorView attachment 1363565View attachment 1363566View attachment 1363567View attachment 1363568View attachment 1363569View attachment 1363570View attachment 1363571View attachment 1363572View attachment 1363573View attachment 1363574
Jamaa wanavituko sanaLOL ndio maana mimi nawaona hawa mburukenge ni washamba sana utafikiri wametoka bush juzi so anything in the town is amusing
Hivi mtu mwenye akili kweli na exposure anaweza kufikiri kwamba Tanzania Hakuna standard casinos na karts?
Hizo karts kwa Kenya inawezekana ipo Nairobi tu lakini Tanzania zipo za kumwaga
Hahaha eti mpaka na bike racing anaturingishia watanzania![]()






Can you name them for me 😂LOL almost 60% of Kenyans are slum dwellers sa sijui unaongea nini hapo, Nairobi Ina slums 30 kidogo
Ohh sisi GDP kumbe inanuka madeni na vumba juu debt to GDP ratio now 64% official🤣👇👇
Tumia ubongo bro! Kwa hio 100km Kuna sections/stations. Weka picha ya Kila station na usisahau kusema ni KM ngapi from Dar...Simple as 1,2,3.Akuoneshe kwa picha 100kms!!!!...bro umepagawa nini?
Kando ya pspf mama ntilie na Chipsi mayai.
Please give the name of this place... I would like to search it myself.Kuhusu Urban Transport, Good streets with pedestrian sidewalks and marking . Mtasubiri sana . Kuna picha za Thika highway watu wanapita popote utafikiri na wao wana matairi.
View attachment 1363421
View attachment 1363422
View attachment 1363423
View attachment 1363425
Sent from my iPhone using JamiiForums
Tulikuwa hapa back in the 80s...keep it up mtafika tu.
Same goes for this shit hole of a city
Please give the name of this place... I would like to search it myself.
This is a list of slums in nairobiCan you name them for me 😂
Hebu jaribu uone kama ww unajiamini🤣🤣🤣Casino za river road ndio umeamua kujaribia nayo...lol.Though is that even a priority
Sent using Jamii Forums mobile app