Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,919
- 103,791
The difference is $1.3 bln while u claimed ur export is twice ours!So Tanzania imepita Kenya?

Haijaipita ila inawapumulia kichogoni😁😁😁😁So Tanzania imepita Kenya?
Mkuu kuwa na wingi RAIA n'nje ya nchi kwa Kenya hii nayo ni sifa....?..Yeah naelewa sisi hatuna watu wengi nje ya nchi i think so...nataka service zote plus goods kama unazo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu yaani tunaijua Kenya kuliko hawa machokoraa wa kikenya waliozagaa zagaa humu..
Do you have a functioning brain?Kaulize nyanya ako.😂😂😂😂
The difference is $3bn according to wold bank.The difference is $1.3 bln while u claimed ur export is twice ours!
Ya Bomba la mafuta limewahepa.Umeona vile sindano zimekuingia vyema🤣🤣💉💉💉💉💉💉💉
The East African largest slipway in Mwanza keeps loading
Hayo maneno ni ya nani ???😁😁😁😁 bila shaka ya kigogoYa Bomba la mafuta limewahepa.
Wakati Magufuli anaingia madarakani alikuta Kikwete ametengeneza makubaliano na Wachina ya Kujenga SGR yote Dar hadi hadi Kigoma, na pia kutoka Uvinza kwenda mgodi wa Musongati wa Burundi na kufika Kaliua. Ilikua iende na Mwanza nadhani, kwa mkopo wa $7.6 Bilioni kupitia benki ya China ya EXIM na Kampuni ya Ujenzi ya Reli za serikali ya China. Magufuli aliitupia hii dili nje kwa madai kuwa ilikuwa na harufu ya ufisadi na kwamba tutajenga SGR kwa fedha zetu za ndani.
Sasa leo hii, zaidi ya fedha ambazo tayari tumezamisha kwenye SGR kipande cha Dar hadi Dodoma tu, tumekopa tena $ 1.46 Bilioni ili kukamilisha ujenzi wa SGR toka Dar hadi Makutopola. Hili linafanyika wakati TRC wanasema hadi sasa kipande kilichojengwa kimeshakula $1.3 Bilioni. Hii inamaanisha kwamba tunakopa $ 1.46 Bilioni kukamilisha sehemu ambayo tayari imekula $1.2 Bilioni. Kwa hiyo basi, hadi sasa kuanzia Dar hadi Makutopola gharama inaweza kufikia zaidi ya $3 Bilioni, ambayo ni karibu nusu (50%) ya mkataba ambao Kikwete na Wachina walikuwa watie sahihi kama gharama ya kujenga SGR yote, na Raisi Magufuli akatuaminisha Watanzania kwamba ule mkataba ulikuwa na harufu ya ufisadi.
Tano tena jubilee oyeeee🤣🤣🤣👇👇👇👇Ya Bomba la mafuta limewahepa.

Ndio kwasababu imeharibika kutokana na mvua kubwa zinazoendea kunyesha so mulitaka serekali ipande juu kuzuia mvua how comes watu wanaleta sasa kwenye upuuzi kama huu,Tanzania ya viwonder. I hear that your government want to arrest anybody who exposes the rot in your roads. Tell that bald headed man that nimezipost huku JF.View attachment 1361134View attachment 1361136
Some people are still dreaming about Uganda.
Some excuses doesn't make sense. Barabara enyewe hata haikuchapwa lamiNdio kwasababu imeharibika kutokana na mvua kubwa zinazoendea kunyesha so mulitaka serekali ipande juu kuzuia mvua how comes watu wanaleta sasa kwenye upuuzi kama huu,
Can't pay, won't pay🤣🤣🤣👇👇👇 GDP iko ICU inapumulia mipira ya mikojoYa Bomba la mafuta limewahepa.
Wakati Magufuli anaingia madarakani alikuta Kikwete ametengeneza makubaliano na Wachina ya Kujenga SGR yote Dar hadi hadi Kigoma, na pia kutoka Uvinza kwenda mgodi wa Musongati wa Burundi na kufika Kaliua. Ilikua iende na Mwanza nadhani, kwa mkopo wa $7.6 Bilioni kupitia benki ya China ya EXIM na Kampuni ya Ujenzi ya Reli za serikali ya China. Magufuli aliitupia hii dili nje kwa madai kuwa ilikuwa na harufu ya ufisadi na kwamba tutajenga SGR kwa fedha zetu za ndani.
Sasa leo hii, zaidi ya fedha ambazo tayari tumezamisha kwenye SGR kipande cha Dar hadi Dodoma tu, tumekopa tena $ 1.46 Bilioni ili kukamilisha ujenzi wa SGR toka Dar hadi Makutopola. Hili linafanyika wakati TRC wanasema hadi sasa kipande kilichojengwa kimeshakula $1.3 Bilioni. Hii inamaanisha kwamba tunakopa $ 1.46 Bilioni kukamilisha sehemu ambayo tayari imekula $1.2 Bilioni. Kwa hiyo basi, hadi sasa kuanzia Dar hadi Makutopola gharama inaweza kufikia zaidi ya $3 Bilioni, ambayo ni karibu nusu (50%) ya mkataba ambao Kikwete na Wachina walikuwa watie sahihi kama gharama ya kujenga SGR yote, na Raisi Magufuli akatuaminisha Watanzania kwamba ule mkataba ulikuwa na harufu ya ufisadi.
Hvi ww unajua sheria ya national parks huwezi eka lami inside national park and that pic ni inside ngorongoro conservation area akili yako fupi sanaSome excuses doesn't make sense. Barabara enyewe hata haikuchapwa lamiView attachment 1361149View attachment 1361150
Sent from my TECNO W1 using JamiiForums mobile app