Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

NDINDA don't be this foolish. Do you know what streets are? Roads and streets are two different things. Wewe uko busy hapa unanionyesha barabara.
Kuhusu Urban Transport, Good streets with pedestrian sidewalks and marking . Mtasubiri sana . Kuna picha za Thika highway watu wanapita popote utafikiri na wao wana matairi.

View attachment 1363421


View attachment 1363422


View attachment 1363423



View attachment 1363425


Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NDINDA do you really know what streets are?
Boss , Nilikua busy nakula Bata.

Picha zooote ulizopost ni vi close up kadhaa zingine hazionyeshi hata Alama za barabarani wala Huwezi jua ni urefu gani.


Unajua maana ya Democracy on the Roads ?

Barabara nyingi za Dar ni Pedestrian and Cyclists friendly.

Kumbuka Barbara zote zilizopitiwa na BRT zimezingatia Pedestrians na cyclists , niliona picha mnasherehekea mjapani alivyowawekea bike lanes moja kwenye barabara yenu mpya.

Imagine The Whole Nyerere road kutoka terminal One , Morogoro road, Msimbazi street , Kawawa Road zote ni Cyclists and pedestrian friendly. Hamjui kwamba tumejifunza maeneo mengi ndio tukafanya hivyo? ( Transmillenio in Bogota, Dallas rapid transit , India Etc)


Barabara nyingi za Town ni well marked sio hizo zenu typical broken sidewalks of African cities .

See from Above .

Ohio, ali hassan Mwinyi and Bibi titi Mhd street

View attachment 1363358

View attachment 1363361

Kivukoni street

View attachment 1363362


View attachment 1363363


View attachment 1363364


View attachment 1363366


Lumumba, Uhuru junction

View attachment 1363368


View attachment 1363373


View attachment 1363375


Msimbazi street

View attachment 1363377


Halafu mbona unaaga? Wanazima Wi-Fi au umeme J/K

View attachment 1363380


View attachment 1363382


View attachment 1363383

See picha nilizopost zinaonyesha hata urefu wa km kadhaa . We umepoat tu fremu za maduka




Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
See who is talking, nyinyi in every ten posts a Tanzanian make 7 of them must be the blue towers.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi ni hatari zaidi kwenye miundombinu ya barabara, reli, umeme, meli, madaraja, ujenzi, utalii nk kuliko majengo. Kote humo tumewakimbiza km unabsha leta ushahidi wwte kwmb mnaizd Tz kwny hizo sekta nlizokutajia af uone ntakavyokuaibisha.
 
The only thing you can brag about there is bridges.
Sisi ni hatari zaidi kwenye miundombinu ya barabara, reli, umeme, meli, madaraja, ujenzi, utalii nk kuliko majengo. Kote humo tumewakimbiza km unabsha leta ushahidi wwte kwmb mnaizd Tz kwny hizo sekta nlizokutajia af uone ntakavyokuaibisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The problem with you Tanzanians is that you can't think using your own brains. The four points I listed above are from different books and you will never see a CBD without those. You on the other side you want to copy paste everything.
Hizo umetoa mdomoni leta the actual meaning of CBD mbn unaogopa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
There is street and there is road. Those two things are different and that's why they were not given the same name. If I say streets I expect to see where people are walking within your city.
Kuna mtu anataka picha za streets zisizo na barabara...hehehe.....ingia nyumbani kwako kibera utakuta zipo za aina hiyo huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom