Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We nawe ustusumbue ingia YouTube search Yapi Merkez Tz utaona njia nzima km 200 sio 100, we inakuaje huelewi bwana?


Sent from Gnet Phone using JamiiForums
Sasa hatutumii picha za mtambo wao wa gongo! Kitu cha umeme si garimoshi!


EREFXL-XYAAhLvP


Zigi Rizla Kafrican Depay Teargass Tony254
 
Baada ya uwezo wa Teargas kutrust macho yake ulipoishia.


View attachment 1363666


View attachment 1363667


Sent from my iPhone using JamiiForums

kuna siku nilimwambia (mwasat, sijui) ahesabu hizo mini windows zilizopo kwenye huo ukuta wa njano

na ukihesabu hizo mini windows ya kwanza hadi ya mwisho unapata zipo 32... lkn corresponding labeled number za jamaa kwenye vioo zipo 31.. na bado hapo juu kuna floor nyingine
 
Back
Top Bottom