Boss , Nilikua busy nakula Bata.
Picha zooote ulizopost ni vi close up kadhaa zingine hazionyeshi hata Alama za barabarani wala Huwezi jua ni urefu gani.
Unajua maana ya Democracy on the Roads ?
Barabara nyingi za Dar ni Pedestrian and Cyclists friendly.
Kumbuka Barbara zote zilizopitiwa na BRT zimezingatia Pedestrians na cyclists , niliona picha mnasherehekea mjapani alivyowawekea bike lanes moja kwenye barabara yenu mpya.
Imagine The Whole Nyerere road kutoka terminal One , Morogoro road, Msimbazi street , Kawawa Road zote ni Cyclists and pedestrian friendly. Hamjui kwamba tumejifunza maeneo mengi ndio tukafanya hivyo? ( Transmillenio in Bogota, Dallas rapid transit , India Etc)
Barabara nyingi za Town ni well marked sio hizo zenu typical broken sidewalks of African cities .
See from Above .
Ohio, ali hassan Mwinyi and Bibi titi Mhd street
Kivukoni street
Lumumba, Uhuru junction
Msimbazi street
Halafu mbona unaaga? Wanazima Wi-Fi au umeme[emoji23] J/K
See picha nilizopost zinaonyesha hata urefu wa km kadhaa . We umepoat tu fremu za maduka [emoji23]
Sent from my iPhone using JamiiForums