Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Factors that influences a place to be called CBD are it`s;
1. Financial capabilities
2. Administrative capabilities
3. Commercial capabilities.
4. Social enhancement.

For a place to be called a CBD, it must have all the above in abundance.
Just give us the meaning of the word CBD and why does Kijitonyama not qualify to be called a CBD
 
I have already told one of you that you are comparing dream houses za Dar where the majority live na slums za Nairobi. What does that tell you bongolala?
Ww na mzungu nani anajua maana ya slum??🤣🤣 kiowa kibera alone ina watu 2.5m what about other slums hvi nyinyi munajifanya mzungu mjinga sana kuita kibera the biggest slum in Africa 😁😁😁😁
 
FB_IMG_1579988627324.jpg
 
Wakenya baada ya kuona sasa ndoto ya modern electric bullet train imetimia sasa wameanza kuchange motion kupost picha za go kart na casino wakijua hazipo huku ili wapate afueni humu kumbe ndio hawajui wamesinzia na fegi na kuchoma kibanda🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Teargass my friend nikupe ushauri wa bure yani maeneo yote yanayohusu pleasure dar iache kabisa bro utaaibika na kuadhirika mtu mzima 😁😁😁😁

Ww zungumzia mambo ya locusts na ushuzi wa GDP lakini maeneo yote mengine achana nayo utaumia
 
LOL ndio maana mimi nawaona hawa mburukenge ni washamba sana utafikiri wametoka bush juzi so anything in the town is amusing

Hivi mtu mwenye akili kweli na exposure anaweza kufikiri kwamba Tanzania Hakuna standard casinos na karts? 😅😅😅😅

Hizo karts kwa Kenya inawezekana ipo Nairobi tu lakini Tanzania zipo za kumwaga

Hahaha eti mpaka na bike racing anaturingishia watanzania 😂😂😂😂😂
 
🤣🤣🤣🤣 alikua anajaribu ku change motion lakini kumbe anajikaanga mwenyewe kama ngisi maana ngisi hujikaanga na mafuta yake mwenyewe
 
Back
Top Bottom