babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 12,904
- 34,903
Hawanyongwi!! Get the difference
Huwa tukiwaambia hamjui kitu kuhusu nchi yenu ni kweli kabisa hamjui,
Mwaka 2009 wakenya walinyongwa China kwa mambo hayo hayo ya drug trafficking while others faced life imprisonment,
Na 2015 Unakumbuka tena ni nini kilimkuta mkenya mwenzenu 😥😥😥
Haya mambo sio mazuri hata kidogo.



