mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,781
- 6,481
Tulifikiri Tz ni Nchi ya asali na mziwa kumbe ni ya umasikini na elimu duni.Wakenya wapo brainwashed sana kwamba wao ni bora sana lakini uhalisia they are worst than any other, waishukuru sana jf inawafungua macho kuhusu Tanzania