Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nyumba za kimaasai Ndio hizo tofauti na zile za msonge
Shinyanga wanaishi maasai?
images-2.jpeg
download.jpeg
images-1.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Masaki hua panawaumiza Sana kichwa hawa mamburula

Sent using Jamii Forums mobile app
I know Masaki is the best neighbourhood in Dar ila sio sehemu ya kutaja mbele ya Nairobi's best neighbourhoods. Masaki ni apartments kushoto kulia ni kama tu kileleshwa ama Lavington. Masaki sidhani kama inawezafika hata level ya Loresho ama Kyuna. Take a look at Karen below
2210010_Founded20in2019372C20the20Karen20Golf20Club20is20one20of20the20oldest20golf20cl...jpeg
19963429875_06ad9c665c_h.jpg
659b3b32811629.5694e25d4399a.jpg
images (46).jpeg
20655653461_4c203c71de_b.jpg
8219968113_369782dc9b_b (1).jpg
8219981053_11b1f18345_b (2).jpg
images(117).jpg
images(118).jpg
6105012960_c3a4d50e9c_b.jpg
6104460791_575ba667b3_b.jpg
8220008201_7467449b83_b.jpg
 
Attachments

  • images(53).jpg
    images(53).jpg
    43.3 KB · Views: 6
Nani alikudanganya kua nyumba za msonge ni za kimaasai, kwani wewe manyatta za kimaasai huzijui? Zinajengwa hivyo? Usijitie hamnazo watanzania wengi tu hayo ndio makaazi Yao,Kwanza kwa taarifa yako wamaasai wapo Hadi dumila morogoro,upo?.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ipo mikoa wamasai (jamii kubwa) wanaishi inajulikana, miongoni mwao ni Arusha, Kilimanjaro, Tanga, Morogoro, Pwani

Naongelea utaratibu wa jamii za maeneo hayo kujenga nyumba zao kutokana na rasilimali zilizopo kwenye hayo maeneo

Kwa taarifa yako tu mostly maeneo mengi Tanzania wanajenga Nyumba zao kwa matofali ya kuchoma and to be specific about that pic, imepigwa kwenye hifadhi ya Ngorongoro.
 
Kama ingekuwa kweli hiki unachokisema ww basi sidhani kama kenya ingetoka kwenye group la ldc cz inakabiliwa na insufficiency everywhere (tena ni insufficiency za ki ldc) kuliko ata Tz, and that was my concern. unaizungumziaje.View attachment 1351895
Kwa hivyo Tz ni Middle income? Kwa kigezo kipi na wapi ushahidi usio was mdomo?
 
Ipo mikoa wamasai (jamii kubwa) wanaishi inajulikana, miongoni mwao ni Arusha, Kilimanjaro, Tanga, Morogoro, Pwani

Naongelea utaratibu wa jamii za maeneo hayo kujenga nyumba zao kutokana na rasilimali zilizopo kwenye hayo maeneo

Kwa taarifa yako tu mostly maeneo mengi Tanzania wanajenga Nyumba zao kwa matofali ya kuchoma and to be specific about that pic, imepigwa kwenye hifadhi ya Ngorongoro.
Huyo anataka kubishana na sisi tunaofahamu nyumba za makabila yanayoishi Tz 😂😂😂
 
Ipo mikoa wamasai (jamii kubwa) wanaishi inajulikana, miongoni mwao ni Arusha, Kilimanjaro, Tanga, Morogoro, Pwani

Naongelea utaratibu wa jamii za maeneo hayo kujenga nyumba zao kutokana na rasilimali zilizopo kwenye hayo maeneo

Kwa taarifa yako tu mostly maeneo mengi Tanzania wanajenga Nyumba zao kwa matofali ya kuchoma and to be specific about that pic, imepigwa kwenye hifadhi ya Ngorongoro.
Hawa ni wamasaai na nyumba zao ni za matofali
 
I know Masaki is the best neighbourhood in Dar ila sio sehemu ya kutaja mbele ya Nairobi's best neighbourhoods. Masaki ni apartments kushoto kulia ni kama tu kileleshwa ama Lavington. Masaki sidhani kama inawezafika hata level ya Loresho ama Kyuna. Take a look at Karen below View attachment 1351972View attachment 1352016View attachment 1351982View attachment 1351983View attachment 1351992View attachment 1351993View attachment 1351998View attachment 1351999View attachment 1352000View attachment 1352001View attachment 1352005View attachment 1352010
Masaki & Oysterbay one of the best in Africa, kua na apartment haifanyi kukawa sio bora....hata Beverly hills apartments zipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Talking of rating while I talk of international recognised grading system!

View attachment 1351863

Hivi Wewe ni Chizi au kichaa?, Magufuli anasema hawezi kuwatetea wauza madawa ya kulevya walioshikwa na kuhukumiwa nje ya nchi, Kenya inakataa kuwasaidia wanafunzi walioko China, kweli unaweza kulinganisha haya mambo mawili?, unataka Magufuli awatetee wafanyabiashara wa madawa ya kulevya?
Tanzania is a sovereign state. People get repatriated everytime to face charges in their mother countries. Why is Tanzania not doing the same for her people? Waletwe Tanzania wafunguliwe mashtaka huko, si eti serikali inyameze and watch from a distance as her people face the hangman's noose in a foreign land. Usitetee upumbavu
 
Back
Top Bottom