babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 12,904
- 34,903
Ona Huyu shosho,
Yaani wamasai waezeke nyumba zao kwa matope?
Wamasai hutumia nyasi kuezeka nyumba zao kama hulifahamu Hilo.
Ona Huyu shosho,
Ipo mikoa wamasai (jamii kubwa) wanaishi inajulikana, miongoni mwao ni Arusha, Kilimanjaro, Tanga, Morogoro, Pwani
Naongelea utaratibu wa jamii za maeneo hayo kujenga nyumba zao kutokana na rasilimali zilizopo kwenye hayo maeneo
Kwa taarifa yako tu mostly maeneo mengi Tanzania wanajenga Nyumba zao kwa matofali ya kuchoma and to be specific about that pic, imepigwa kwenye hifadhi ya Ngorongoro.
It's all in your mind. I have no problem with that at allKama ingekuwa kweli hiki unachokisema ww basi sidhani kama kenya ingetoka kwenye group la ldc cz inakabiliwa na insufficiency everywhere (tena ni insufficiency za ki ldc) kuliko ata Tz, and that was my concern.unaizungumziaje.View attachment 1351895
Bring them home wafunguliwe mashtaka nyumbani. It happens all over the worldUlitaka tufanyaje?
Hivi unafahamu hizo nyumba za matofali ya udongo hujengwa vipi?Kuwepo kwa rasilimali shinyanga haimaanishi kila mtu wa shinyanga ni tajiri Wala wote wanakua na uwezo wa kumiliki mjengo wa matofali .
Sent using Jamii Forums mobile app
Masaki ni tishio Africa tena weka mbali na watoto kabisa😁😁😁😁😁
Huyo hajielewi, hajui Tanzania kila kabila lina style yake tofauti ya kujenga Nyumba
Ona Huyu shosho,
Yaani wamasai waezeke nyumba zao kwa matope?
Wamasai hutumia nyasi kuezeka nyumba zao kama hulifahamu Hilo.
Zaidi ya wakenya 1,300 wapo kwenye magereza mbalimbali duniani wakitumikia vifungo vyao,Bring them home wafunguliwe mashtaka nyumbani. It happens all over the world
Hivi unafahamu hizo nyumba za matofali ya udongo hujengwa vipi?
Nyumba za tofali za udongo una uwezo wa kutengeneza mwenyewe bila gharama kubwa yoyote,
Udongo utachimba mwenyewe, mashine utatengeneza mwenyewe, sementi utatumia udongo kwa ajili ya kushikilia hayo matofali ya udongo,
Acha kujifanya mjuaji na hata hufahamu kitu.
Nani kasema hawapo?Kwani wewe unaona kenya Hakuna Maasai ama sisi tunahadhitiwa tu hatuwajui?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna aliyekataa.. Wewe ndio hutaki kuelekezwa ili ufahamu,Sio kila mtu ana nguvu ya kukanda huo udongo,pili unajaribu kukataa vitu ambavyo vipo hazarani Tanzania nzima na watu wengi tu Wana hayo makaazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Zaidi ya wakenya 1,300 wapo kwenye magereza mbalimbali duniani wakitumikia vifungo vyao,
Kwanini hamuwaleti nyumbani muwafungulie mashtaka?
Hizi ni nyumba za walalahoi wala si matajiri sababu hujengwa kwa bei rahisi kila mtu anamuduKuwepo kwa rasilimali shinyanga haimaanishi kila mtu wa shinyanga ni tajiri Wala wote wanakua na uwezo wa kumiliki mjengo wa matofali .
Sent using Jamii Forums mobile app
Where did you read that masaki na Oysterbsy are some of the best in Africa? 😂 😂 😂 😂 😂 Basi Karen and Muthaiga are the best in the world 😂 😂Masaki & Oysterbay one of the best in Africa, kua na apartment haifanyi kukawa sio bora....hata Beverly hills apartments zipo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda makumbusho ya Taifa kipo kijiji kabisa kikiwa na kila nyumba ya kila kabila au Google kijiji cha makumbushoHebu Leta hizo style 120 ukiambatanisha na kila kabila,watu wengine sijui akili Ndio hawana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani sikiwa best inaathiri nn uzuri wa karen au muthaiga?unaujinga mwingi sanaWhere did you read that masaki na Oysterbsy are some of the best in Africa?![]()
![]()
![]()
![]()
Basi Karen and Muthaiga are the best in the world
![]()
![]()
Hawanyongwi!! Get the differenceZaidi ya wakenya 1,300 wapo kwenye magereza mbalimbali duniani wakitumikia vifungo vyao,
Kwanini hamuwaleti nyumbani muwafungulie mashtaka?
Huwa tukiwaambia hamjui kitu kuhusu nchi yenu ni kweli kabisa hamjui,Lakini sio kunyongwa,watu wetu serikali hua inajiatiti Hadi harudishwe nyumbani , serikali wenu haifai kulinyamazia Hilo Jambo maana mkinyamaza watu wenu wengi wataumia hata wengine labda waliwekewa false accusations.
Sent using Jamii Forums mobile app