Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

8b3a898750a2516cff85e9cbd8fb6266.jpg
bcff9a327af80090cb51db52379cdc13.jpg
INTERNATIONAL SCHOOL OF KENYA CHARGES ABOVE 2,000,000 PER TERM PER STUDENT.
yea the zeros are not an error
 
wataleta zile zinazomilikiwa na wanasiasa na baadhi ya wafanyabiashara wakubwa wanaoshi kule westland,lunda,ravington,karen n.k.
ndyo vizuri pia walete kwa mfumo wa aerial view na picha za nyumba zinazomilikiwa na wananchi wakawaida
.
 
Askari Monument in downtown looking beautiful again after a great gardening work. With the current streets refurbishment especially Samora Avenue, This street will look great.

728e8a3301e1c1456aba5a369ef6de79.jpg

023d65c654a7621144d0b05532f6e78c.jpg
Oh my God,
Truly I need to visit here.
 
Kwenye nyumba za wakazi wa kawaida utakimbiza wa Kenya humu
Maana wao wamezoea zile za kupanga wanazo tuma humu zimefanana kama dormitory za primary's schools
kweli kabisa......yaani wanamnufaisha tajiri anayejenga hostel wanazopanga baada ya kumnufaisha maskini mwenzao yaani hawa maisha yao ni kupanga kuanzia babu,mama,dada mpaka vitukuu yaani hawawezivkujenga mausha yao ni kupanga
 
hyo shule ama ukumbi wa sinema acha masihara.....upuuzi...

leo tunataka nyumba zenu za nairobi zinazomilikiwa na mmoja mmoja hatuzitaki apartment ....a.k.a hostel maana ndyo mlizo kazania
you kidding me?unataka hii website i hang???????????
 
We might hav two scenarios in this forum, either some Tanzanians are jus too damn and excessively petty or they are working for JF, thereby keep us in engaging them to make JF keep havin Kenyans online
 
punguza hasira,tunataka mtuonyeshe picha za nyumba zenu binafsi hapo Nairobi.

mtuletee picha za nyumba zinazomilikiwa na common nairobians.

please msilete picha za three to six story buildings,tunajua hizo ni houses owned by few elite kikuyu's for renting business.

do as requested or prepare to be humiliated.
 
leteni nyumba zinazomilikiwa na mtu mmoja moja hapa msilete hizo apartment a.k.a hostel....maana city yenu inakaa kama bording skul
 
punguza hasira,tunataka mtuonyeshe picha za nyumba zenu binafsi hapo Nairobi.

mtuletee picha za nyumba zinazomilikiwa na common nairobians.

please msilete picha za three to six story buildings,tunajua hizo ni houses owned by few elite kikuyu's for renting business.

do as requested or prepare to be humiliated.
Speak of the devil
 
Attachments

  • 20170529_140206.jpg
    20170529_140206.jpg
    69.3 KB · Views: 19
Mbona wahindi tupu?
hawa leo wanazunguka zunguka tu ...wakati tunazihitaji houses za wakenya hapa wa hapo nairibi na hatuzitaki apartment zao tushazichoka kwani hata huku zipo....wanasua sua kuleta maisha yao asilia
 
Poor Kenyans, cement ghali sana mpaka mnaamua kuokota mawe mjenge, yani inabidi mpambane kweli mpate sheria nzuri za kulinda raia mpate ardhi muwanyaganye hao ma bwanyenye la sivyo mtaishia kuishi kwenye nyumba za bati na ukijitaidi sana ukaokote mawe ujenge

Hatuokoti mawe. Yanachimbwa chini nanakatwa na mashine au mafundi maalum. Kumbuka Nairobi sio kama hapa Dar ya kwamba mchanga wa kujengea ni rahisi kupatikana. Kule mchanga ni ghali tofauti na Dar ambapo ni rahisi kupatikana na ni bei nafuu sana. Ndio maana tunatumia mawe.
 
Back
Top Bottom