kenyans be like no no this isn't dar,it's capetown-south africa.bongo
![]()

nyumba nyingi nimeziona Nairobi wameshindwa ku piga plasta ya cement matofali yamebaki ivyo ivyo yanaonekana majengo machafu
matofali ya kuchoma sio mawe😀😀😀😀Nairobi hatujengi kwa kutumia matofali ila mawe.
kenyans be like no no this isn't tanzania, it's dubai.gadafi mosque tanzania
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()

G series of 2017 V12 full custom, cost 500,000usd.....son of bakhresa
Poor Kenyans, cement ghali sana mpaka mnaamua kuokota mawe mjenge, yani inabidi mpambane kweli mpate sheria nzuri za kulinda raia mpate ardhi muwanyaganye hao ma bwanyenye la sivyo mtaishia kuishi kwenye nyumba za bati na ukijitaidi sana ukaokote mawe ujengeNairobi hatujengi kwa kutumia matofali ila mawe.
hzi ndio nyumba nyingi kenya zinajengwa na matofali ya kuchomaPoor Kenyans, cement ghali sana mpaka mnaamua kuokota mawe mjenge, yani inabidi mpambane kweli mpate sheria nzuri za kulinda raia mpate ardhi muwanyaganye hao ma bwanyenye la sivyo mtaishia kuishi kwenye nyumba za bati na ukijitaidi sana ukaokote mawe ujenge
Where is it located Edward? looks cool.This one near complete building in Nairobi looks near like those in Queen's England
![]()