Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mpaka encyclopedia waongo leo😀😀😀😀😀
Screenshot_2017-04-29-18-25-14.png
 
Kwa kiswahili fasaha :-
ambia ni mwambie,
arudishe ni akurudishie,
Na chwara ni uchwara.
You see now? Even you can't write proper Swahili. End of the day, I'm not here to show off or compete about who can write better English! What matters was you understanding the question I asked. Instead, you decided to ignore to answering the question but picked on trivial mistakes. What an idiot you are!!
Ahahahahahaha Wikipedia waongo, encyclopedia waongo, Google map waongo wote wanaionea sana kenya sijui kwanini 😀😀😀😀😀😀
Hata Mimi inaniuma sana kwanini wanaaonewa hvo kumbe source zote waongo🙂🙂🙂🙂
 
Map of the Nairobi Metropolitan Region as
identified in research literature (UN-Habitat 2010:
168).wacha nitumie kiswahili. hapo kwenye rangi ya kijani kibichi ndipo 690 mraba imefika ila mji umepita hapo hadi wenye hiyo rangi nyekundu hiyo tunaita kwa lugha ya kimombo nairobi metropolitan mahali kiuhalisia nairobi imefika.tunapatana?


Kwani wewe ni Mzungu hadi auseme ,,tunaita"?
 
Hvi wewe wanjala akili yako hua iko timamu????? Nimekwambia niletee source kua kenya airways imenunua ndege cash ya aina yoyote niletee facts hapa, ndege zote unazoziona kenya airways zote ni za kulease hakuna ndege hata moja kenya airways wamenunua cash',,,,,,,,, tuliza ubongo😀😀😀😀
Haya basi waambie wame-lease dreamliner kutoka kampuni au airline ipi na uwape na link kabisa ukipata!
 
So from now nairobi is not 696 km sq ahahhahahahhahahahah kumbe google waongo 😀😀😀😀😀😀😀😀aise leo munanipa raha sana🙂🙂🙂
View attachment 502665
ni vizuri umeleta hii picha. unaona iyo miji inaitwa kiserian kikuyu athi yote huwezi tafautisha maana majengo tupu kutoka city centre mpaka past hiyo miji hiyo ndio inaitwa metropolitan.
 
ni vizuri umeleta hii picha. unaona iyo miji inaitwa kiserian kikuyu athi yote huwezi tafautisha maana majengo tupu kutoka city centre mpaka past hiyo miji hiyo ndio inaitwa metropolitan.
Tunaongelea urban city inayoeleweka na source zinavosema tena nimekupa source tatu za kimataifa zote zinasema the same thing, sasa nakuuliza zinasema uongo😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom