The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Kuna picha ililetwa hapa ya Nairobi nkazani Congo mzee mana magorofa mawili poriYani vigorofa vya kuhesabu![]()
Kuna picha ililetwa hapa ya Nairobi nkazani Congo mzee mana magorofa mawili poriYani vigorofa vya kuhesabu![]()
Atari mzee.....Ndo unataka uje ushindanishe na westy mara kilimani posta yenyewe tu inakutoa jashoView attachment 1311102View attachment 1311103
Sent using Jamii Forums mobile app
Azania Front je?St. Joseph ya zamani 1930s na sasa hivi
Bado lipo kwenye ubora wake ndani ya CBDView attachment 1311104View attachment 1311105
Sent using Jamii Forums mobile app


wanga lazima wakae tuEbhn hii pcha tamu sana kiongozi
Yaani acha 2 na imechukuliwa vizuri sanaEbhn hii pcha tamu sana kiongozi
Halafu laana ya nai inawaburuza sanawanga lazima wakae tu
Ebhn hii pcha tamu sana kiongozi
Hii ni timu ya daraja la II Tanzania
Umekubali eehh
Ndo jiji letu tuache tufurahi nalo
Umekubali eehh
Nairobi haitoshi kupambana na dar,dar imejaa majengo wakati nairobi imejaa vichaka na ndo maana wanaomba msaada kwa kiambu county na mombasa ili kupambana na darKenya seem kubwa ni pori yn majengo unahesabu tofauti na kwetu pande km Dar hatuachi maeneo yawe pori eti kwa excuse ya kutunza mazingira kumbe majengo machache cc mapori ya kutosha tunayo but Dar ni seem ya buildings na ndio maana ikaitwa the new York of Africa kuna picha apo umeweka km usingekuwa ww ndo umepost ningejua ni msitu wa Congo![]()
Ina 1930 halikuwapo?