Mada tofauti


Jamaa hz picha unazipendaee
Sana! 😂 😂 😂 😂 Naona hata wewe umezipenda 😂 😂Jamaa hz picha unazipendaee
Most of the rich kenyans are native Africans unlike Tanzania where top ten ni waarabu wahindi tupu.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Ebu tutajie hao Mabeberu tuwajue ju hata sisi hatuwajui. Ama Criss kirubi pia ni beberu? Tanzania Mali yao ni ya Wahindi even the richest folks are all Indians.Umesahau Nigeria $400bil up than south africa
Usijali tz $62bil tunafanya makubwa kwa sababu kuu Mbili
1 ) $1bil iliyopo tz inafanya mambo makubwa mara ×3 ya kihasi hicho hicho kilichopo Kenya
2 ) GDP ya tz 90% ni Mali ya watanzania isipokua 10% only tofauti na Kenya 25% ya GDP ndiyo Mali ya wakenya na 75% nimali ya mabeberu
Sent using Jamii Forums mobile app
The best University in East and central AfricaView attachment 1306335
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana hiyo si gorofa na haina lift. Imejengwa na Watanzania 😂 😂Hiyo ni gorofa? Kuna lift zinazofanya kazi humo? Gorofa kajenga mchina nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
The stats doesn't support you.View attachment 1309124View attachment 1309125
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunavyo tofauti tofauti mfano mchele wa kutosha tunawapelekea wenye uwezo wa mchele ufuta wenye uwezo wa ufuta kunde wenye uwezo wa kunde na mahindi kwa wenye uwezo wa ugali km nyie
Tumeanza kuwa colonize taratiibu kisiasa tumemtuma mtu wetu mh kabudi kafanya yke kijamii tumenza kuwauzia chakula baadae tutakuwa tunawapeni bure mctudhalilishe kwenda kuomba nje wkt donner country ipo karibu yenu


Kenya seem kubwa ni pori yn majengo unahesabu tofauti na kwetu pande km Dar hatuachi maeneo yawe pori eti kwa excuse ya kutunza mazingira kumbe majengo machache cc mapori ya kutosha tunayo but Dar ni seem ya buildings na ndio maana ikaitwa the new York of Africa kuna picha apo umeweka km usingekuwa ww ndo umepost ningejua ni msitu wa Congo


Bwahahaa!!!hata somalia mchele na ufuta hupatikana...Tunavyo tofauti tofauti mfano mchele wa kutosha tunawapelekea wenye uwezo wa mchele ufuta wenye uwezo wa ufuta kunde wenye uwezo wa kunde na mahindi kwa wenye uwezo wa ugali km nyie
Ukwel huu hapa..Kenya seem kubwa ni pori yn majengo unahesabu tofauti na kwetu pande km Dar hatuachi maeneo yawe pori eti kwa excuse ya kutunza mazingira kumbe majengo machache cc mapori ya kutosha tunayo but Dar ni seem ya buildings na ndio maana ikaitwa the new York of Africa kuna picha apo umeweka km usingekuwa ww ndo umepost ningejua ni msitu wa Congo![]()
Tena kwa taarifa yako mihogo kwa ss ni zao lenye kuhitajika mno pia lina faida sn na ni adimu nazani ata ww apo ulipo unatamani mihogo na hili zao tunataka kulipeleka level nyngne omba omba km nyie njaa ikiwakamata tunakua tunawapeni mihogo inakaa sn tumboni hamtolialia njaa kila wktBwahahaa!!!hata somalia mchele na ufuta hupatikana...
Lkn tatizo mihogo ndio habari ya mjini, manake mihogo imesheheni hko
Sent using Jamii Forums mobile app


