Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

In the next 5 decades Dar itakua too flooded for inhabitance ama itakua chini ya maji ju ya rising ocean water levels.




Sent using Jamii Forums mobile app
😁 Unaigopa Dar...
 
Wazingatie tu suala la usawa icje ikawa ni makazi ya watu fulani fulani tu km nyumba wanazokaa wahindi kariakoo ukienda mtu wa kawaida upati chumba mpk upitie seem seem au uwe muhindi
Na kweli kiongozi ila kwa nhc hawanaga ubaguzi kwa yeyote yule mwenye uwezo anamiliki nyumba na wananyumba za bei tofauti kutokana na kipato cha mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soko la kijichi na mbagala kuu yanakaribia kumalizika

Mdogo mdogo wataelewa tu majirani zetu
kijichi-market.jpeg
mbagala_kuu_market-1024x867.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom