Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukweli mchungu.
IMG_20200103_160641_860.JPG
 
What's wrong with that photo? People trying to make a living? You are really dumb. In kenya, people who don't have jobs stand in the middle of boulevards holding big ass posters seeking employment. In Tanzania, people don't do that. We work our asses off until we see money in our pockets. Perhaps you should know this before you think that those pictures will hurt us in any way.
 
Yaani huu mradi wa SGR kenya ndo ulinifanya niidharau serikali ya kenya,haijawahi tokea project ya kijinga kama hii ...hivi uhuru Kenyatta ni msomi kweli!??
Ni msomi na ana pesa za kutosha. The thing is, he is not a patriot. Viongozi wengi wa kiafrika kama Kenyatta wakiingia madarakani hawawapi priority wananchi. Na kitu kingine, kenya huwa inakurupuka. They never think things through. Mchina kaja na some strange conditions, twende....ilimradi tu wao waonekane kuwa ndio wako juu ila leo tazama kilichowakuta.
 
Yaani ni hawa wakenya wa jf tu ndo hujifanya hawaipendi tz,lakini asilimia kubwa ya wakenya huipenda Tanzania na wakija hawataki kurudi kwao
Hata huyo jamaa enginee mlevi amejitahidi kutafuta picha mbaya za Tanzania lakini kashindwa
Hawa wa jf bado chuki na wivu zinawasumbua maana hawaamini wanachokiona 😂😂😂
 
Back
Top Bottom