Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe unazani ndo majengo marefu ndo yatakayokuletea kipato kikubwa kweli nimeamini wewe ndo unaakili duni
Akili duni kweli. Sasa soko ni kitu cha kutuambia tutaelewa? Rongo kuna soko zaidi ya hiyo, Ruiru kuna kubwa inajengwa na sehemu nyingine nyingi... Usipumbazwe na ufala
Ahaha mbona povu kijana mdogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazingatie tu suala la usawa icje ikawa ni makazi ya watu fulani fulani tu km nyumba wanazokaa wahindi kariakoo ukienda mtu wa kawaida upati chumba mpk upitie seem seem au uwe muhindi
Kumbe hata nyinyi pia mnajenga na kuzipenda hizi mabweni?! 😂 😂 😂 Nilidhani hizi ni mambo ya Kenya tu Kumbe hadi nyinyi! Maajabu haya
 
Nairobi hakuna nyumba ndefu ndio maana blue towers za dar zinawanyima usingiz ....


Sent using Jamii Forums mobile app
2253593_tapatalk_1577381547810.jpeg
2255356_acb5d4994f3ce011ed756657d449f942.jpeg
 
Back
Top Bottom