Ppmosile
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 1,232
- 1,890
Yaani wanajidai sana na bado hali zao ni teteWakenya sio waafrica,ni waingereza wale
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani wanajidai sana na bado hali zao ni teteWakenya sio waafrica,ni waingereza wale
Na yenye kiwango ya hali ya juuDMDP wanajenga barabara bora kabisa yani
Waingereza wala githeri😂😂😂
Mi naona huku yombo, ukilewa unaweza dhani uko Europe na vile wabongo wa huku wanavyoporomosha mijengo ya maana!!
Hohohoooo!!lame excuseMihogo hadi america ipo
Wewe kama huwezi kulima kubali matokeo
Westlands alone beats Posta and Upanga combined 😂Yani vigorofa vya kuhesabu😂😂😂😂
Ungejiuliza ni kwa nini waliamua kuwekeza Nairobi na si Dar is slum
Ungejiuliza ni kwa nini waliamua kuwekeza Nairobi na si Dar is slum
Halafu hawa jf wengi wao wako Tanzania wanafanya kaziHawa wa jf bado chuki na wivu zinawasumbua maana hawaamini wanachokiona 😂😂😂
😂😂😂Halafu hawa jf wengi wao wako Tanzania wanafanya kazi
Hawa wa humu jf ni wabishi ila watakubali tu kuna mmoja yupo kwenye jukwaa flani humu jf keshaanza kukubali bdo hawa wa battle nao wataelewa tu twendeni nao taratibuUkweli mchungu.View attachment 1311153
Cjamuelewa ata mm aiseeHapo ni kenya??! ...mko vizuri[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂Hawa wa humu jf ni wabishi ila watakubali tu kuna yupo kwenye jukwaa flani humu jf keshaanza kukubali bdo hawa wa battle nao wataelewa tu twendeni nao taratibu
Aisee niliwahi kupta pande hzo ebhn nmeshangaa sn watu wametandaziwa mikeka mpk uwani mitaro mikubwa af ni uswazi na taa juu tena taa za kisasa kabisa ebhn DMDP kibokoMi naona huku yombo, ukilewa unaweza dhani uko Europe na vile wabongo wa huku wanavyoporomosha mijengo ya maana!!
Good work DMDP
Hapo ni kenya??! ...mko vizuri[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
Nairobi hakuna nyumba ndefu ndio maana blue towers za dar zinawanyima usingiz ....
Sent using Jamii Forums mobile app
Wajinga sn hawa jamaa ajira tuwape af watutukane km yule engineer mlevi ni mwalimu yule wa history shule flani apa bongo lkn anakwambia eti ana research cjui takataka gn uko tanga wkt co kweli yy ni mwalimuHalafu hawa jf wengi wao wako Tanzania wanafanya kazi
Lengo lilikuwa kuwazuga watu wajue pale ni kenya mbn ndio kawayda yenu kuna mwenzio mmoja kawahi kuongopa apa tukamstukia kwahyo we don't bother cz we are used to u budaMchawi hajaielewa chochote. Ni wapi amesema hapo ni Kenya? Ama unachizishwa na supu ya albino?
Sent using Jamii Forums mobile app
Lengo lilikuwa kuwazuga watu wajue pale ni kenya mbn ndio kawayda yenu kuna mwenzio mmoja kawahi kuongopa apa tukamstukia kwahyo we don't bother cz we are used to u buda
Ametaja ila uki connect dots utagundua alitaka kuwaingiza watu chaka wajue wamisri wanajenga maghorofa kenya we soma kmy kmy af tafakari btw hii battle ya DSM vs Nairoba so how comes Egypt?Lengo gani na ametaja jina "misri"? Ujinga that is in Tanzania is infinity.
Sent using Jamii Forums mobile app