Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nakwambia akileta picha za nairobi nje ya slums ni tag..

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona mnalialia kama watoto wanaotaka kunyonya!! Lini nyie mlituma picha nzuri za Tz? Kama mnaweza na nyie njooni Tz mpige picha kadri mtakavyo jisikia. Kuna boya mwenzenu alikuja Dar akasema atatuma picha Ila alikosa sehemu mbaya hakutuma ata picha moja! Mtu aje kwa cost zake halafu mnampangia cha kufanya, Ichoboy endelea kuminya mapumbu yao, tutumie na uchafu wa stendi ya mabus hapo Kisumu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nonsense,lengo la huu mradi ni nini hasa? kama wana pesa kuna mengi ya kufanya yenye tija kwa jamii
waambieni watoto bado hawana vyumba vya kutosha wamelundikana na wanakaa chini hakuna madawati lakini huduma za jamii hasa afya na maji bado ni changamoto kubwa sana
mwisho kama wana pesa nyingi basi wazilete serikalini ili serikali itekeleze lengo lake la kupanga matumizi sahihi ya ardhi kuanzia ngazi ya kijiji ili tuache kujenga hovyo hovyo nchi yote inakuwa slum tukumbuke population inakua sana
 
Irente viewpoint
irente-viewpoint.jpg
 
Wacha hasira hata likijengwa haitakuwa Kenya therefore none of ur business!
 
Ukweli hampendi(wachache wenyu, wengi wa jf) Tz kila mahali slumish, nchi haina 21st century look., maybe 15%., development is mere politics and PR., doesn't translate to the life of common man. Accept and change.
Wacha hasira hata likijengwa haitakuwa Kenya therefore none of ur business!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona mnalialia kama watoto wanaotaka kunyonya!! Lini nyie mlituma picha nzuri za Tz? Kama mnaweza na nyie njooni Tz mpige picha kadri mtakavyo jisikia. Kuna boya mwenzenu alikuja Dar akasema atatuma picha Ila alikosa sehemu mbaya hakutuma ata picha moja! Mtu aje kwa cost zake halafu mnampangia cha kufanya, Ichoboy endelea kuminya mapumbu yao, tutumie na uchafu wa stendi ya mabus hapo Kisumu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bwahahaaa!!na hakuna siku utakuta mkenya akose kazi aende mahali matembezi aanze kujisumbua kwenda kupiga picha sehemu mbovu mbovu ndio aridhishe wajinga wenzie...never
Hyo tabia afrika naiona na wasauzi, wanaija na ma ccm...

Yani kufupi mnaogopa kupiga picha kenya nje ya slums, hamtaki nyumbu wauone ukwel

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo picha za Kisumu anazopost Ichoboy01 hizo nguzo hapo Kisumu mjini zinazodondoka ni Zege?, au Kisumu sio Kenya?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kisumu mjini!!wacha ujinga wewe, ichoboy kaleta picha za kaloleni...
Hzo nguzo ni za kitambo sana, pia km una macho ukiangalia vizuri utakuta guzo za zege kibao...so ni kiburi

Tumeacha kuagiza nguzo za miti km ulivyodai...hii ni karne nyingine, mambo hayo tumewaachia ldc

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom