Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Siko town kwa sasa niko huku maeneo ya daraja mbili kama unaelekea yala mbona muna waswas sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huko ni ushago. Uko ndio umezoea kukaa, I thought you were in Milimani, Riat, Tom Mboya, Mamboleo ama Arina Estates. Ndio maana unapita kwa slums[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hio lazma itakua ni jengo la maana tena la gorofa zaidi ya 20 [emoji111][emoji111][emoji111]
You are still celebrating when a 20 floor building is getting built? In this era surely? Kuna nyumba za 20 floors zinajengwa Nairobi na Mombasa mingi na hutaona tukipiga nayo kelele hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mombasa Kenya
tapatalk_1577218097373.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Boss, leo umenyoosha watu. Taxi za baiskeli kwenye the third city [emoji23] [emoji23] [emoji23] + slums kama zote yaani[emoji23][emoji23][emoji23] I wish mwezi wa pili nilivyokuwa nairobay na mimi nigefanya tourism ya slums. Nikirudi lazima nifanye wacha sasa tuenjoy hizi zako.
Hta wewe pia unalinganisha tanzania na slums[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutozoea ujenzi ni mbaya kweli. All of Tanzania imekuwa na planned building moja hatupumui, sasa ingekuwa nyinyi ndio mko Kenya ama Ethiopia penye most buildings is in excavation stage si mngeruka hadi binguni?

Sent using Jamii Forums mobile app
Subiri mwakani hakuna cha Kenya wala Nigeria wala Ethiopia ndani ya miaka minne tu tumeshakuwa wapili au watatu Africa katika sekta ya afya na mwakani sekta ya reli na ndege lazima sauth afrika na Kenya na Ethiopia watajuta kutujua tz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko ni ushago. Uko ndio umezoea kukaa, I thought you were in Milimani, Riat, Tom Mboya, Mamboleo ama Arina Estates. Ndio maana unapita kwa slums[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ni ushahidi kuwa wakenya awapendi kujulikana wapi wanaishi sasa ichoboy kuonyesha wapi wakenya wanaisbi imewaumiza sana wakenya ,mkenya kukukaribisha kwake ni mwiko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa wewe unataka watz tupige picha Mali za jubilii na Kenyatta Na wazungu,wahindi ,wachina Nairobi siyo Mali ya wakenya isipokua slum tu,sisi tunataka kuona maisha ya wakenya Wa kawaida

Sent using Jamii Forums mobile app
Heheeee...malizia tu useme hivi, tunaogopa vile ni mali ya mabeberu...mkipiga picha mtaonekana mmezidiwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom