Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kisumu mjini!!wacha ujinga wewe, ichoboy kaleta picha za kaloleni...
Hzo nguzo ni za kitambo sana, pia km una macho ukiangalia vizuri utakuta guzo za zege kibao...so ni kiburi

Tumeacha kuagiza nguzo za miti km ulivyodai...hii ni karne nyingine, mambo hayo tumewaachia ldc

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo Kaloleni sio Kenya?, Angalieni Nairobi ilivyo, hovyo kabisa ninyi, jiji kama porini, uchafu and very "disorganized city".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila jaman niseme tu kenya maisha ni magumu sijapata kuona ukiskia hard life in real aisee iko kenya, yani mpaka kunaskitisha duhh alaf internet ni very expensive duhh

alaf kitu nyingine hua napenda kuuliza nimeona some of rubbish old flyover maeneo ya nakuru na njia panda ya eldoret na kericho sasa hzo old fashion flyovers za nn wakat hakuna hata congestion ya magari kabisa mm hua nafkiri gvt of kenya imeteketeza pesa nyingi za taxpayers kwenye mambo amabayo hayana ulazima kwa sasa thats y even debt sahii ni kubwa sana
Tzn ingewaruhusu wakenya kuingia na kumiliki ardhi wangeichangamsha sana bongo na watz coz wako aggressive kwenye utafutaji huu ni ukweli mchungu coz wako maskini sana ni vile kwao kumiliki ardhi na uje upate ni ngumu sana tofauti na tzn ndio maana ukizaliwa maskini huko kutoboa ni ishu na uhalifu lazima uwe juu ni kama arusha inakopi hali hiyo.
 
Kwahiyo Kaloleni sio Kenya?, Angalieni Nairobi ilivyo, hovyo kabisa ninyi, jiji kama porini, uchafu and very "disorganized city".

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwhyo video za afrikan traveller zote za nairobi umeona hyo ya downtown pekeake...heheee!!kwel watanzania mnaumia sana kumbe...

Nikusaidie kupekua video za nairobi mjini na nje za huyo msee 2019..au wasemaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tzn ingewaruhusu wakenya kuingia na kumiliki ardhi wangeichangamsha sana bongo na watz coz wako aggressive kwenye utafutaji huu ni ukweli mchungu coz wako maskini sana ni vile kwao kumiliki ardhi na uje upate ni ngumu sana tofauti na tzn ndio maana ukizaliwa maskini huko kutoboa ni ishu na uhalifu lazima uwe juu ni kama arusha inakopi hali hiyo.
Wakenya mbona vijana wa ghetto waliotusua ni wengi tu...kw mfano octopizzo katoka kibera

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwhyo video za afrikan traveller zote za nairobi umeona hyo ya downtown pekeake...heheee!!kwel watanzania mnaumia sana kumbe...

Nikusaidie kupekua video za nairobi mjini na nje za huyo msee 2019..au wasemaje

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo jamaa ni mkenya mwenzenu, amepitia sehemu muhimu za Nairobi, wacha kulialia, hiyo mitaa aliyopitia ndio mitaa muhimu sana kwa Nairobi City, hiyo ndiyo " active areas for middle income Nairobians", sasa wacha kulialia, hayo maeneo ni sawa na Posta na Kisutu hapa Dar.

Nani kakwambia down town ndio maeneo mhimu nairobi...eti active areas!!duh..
Huaga takwimu zako unatoaga wapi wewe jamani...

Tom Mboya na Mwaikibaki roads sio maeneo muhimu kwa Nairobi?, nitajie maeneo ya Nairobi down town ambayo ni zaidi ya hizo sehemu mbili hapo Nairobi kwa " level ya middle class areas.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tzn ingewaruhusu wakenya kuingia na kumiliki ardhi wangeichangamsha sana bongo na watz coz wako aggressive kwenye utafutaji huu ni ukweli mchungu coz wako maskini sana ni vile kwao kumiliki ardhi na uje upate ni ngumu sana tofauti na tzn ndio maana ukizaliwa maskini huko kutoboa ni ishu na uhalifu lazima uwe juu ni kama arusha inakopi hali hiyo.
Msikieni huyu jaman😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom