Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapa ni sehemu mbili tofauti, angalia upande wa kushoto kwa mbele juu, NYUMBA hazilingani, hata rangi ya hizi NYUMBA ni tofauti kati ya hizi picha mbili. Bado hiyo barabara haijatengebezwa, acha kutudanganya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Please go to twitter then search Pipeline Estate, you will get both after and before upgrading

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni ovyo kimawazo., that is part of lower areas, kama Githurai 44, 45, Kahawa west., Umoja 1, Kayole etc., kwenyu hapo ni level ya juu kiasi.., hapo ni kwa ma hustler hapa Kenya., middle income ungeweka South B, South C, Lang'ata, Ngumo, pangani Kileleshwa(not all, kuna upper guys huku ), etc., Dar ni village (ushamba kibao, hiusing village type., za 1950s).,
Huyo jamaa ni mkenya mwenzenu, amepitia sehemu muhimu za Nairobi, wacha kulialia, hiyo mitaa aliyopitia ndio mitaa muhimu sana kwa Nairobi City, hiyo ndiyo " active areas for middle income Nairobians", sasa wacha kulialia, hayo maeneo ni sawa na Posta na Kisutu hapa Dar.



Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli wivu haujenge bali unabomoa
Heheeee!!nionyeshe kitu cha mana kando ya hzo zenu tano bora

Mnajengewa magofu na ccm tu, kisha mnadanganywa kupitia twitter

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuache tubakie na magofu yetu ninyi mkiendelea kupiga porojo ambazo hazinamaana

Coz mmeshindwa ndo mnaita magofu narudia kusema mtasubiri sana kwenye sekta ya afya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati ndugu zako ndo wamedai watumiwe picha za kisumu
acheni kupiga picha makazi ya watu maskini afu mnakuja kuponda huku jf ,mnafanya dhambi hata nao wanatamani kuishi vizuri
Baada ya picha kutumwa ndo unadai kuwaonea huruma

Acha dose ikuingie vizuri sio mnaanza kutia huruma kama watoto wa mama ntilie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kisa kwenu amruhusiwi kumiliki ardhi ndo maana mlikuwa mnatakat mkimbilie tz kwa hilo mmefeli vijana wa kunya land
Tzn ingewaruhusu wakenya kuingia na kumiliki ardhi wangeichangamsha sana bongo na watz coz wako aggressive kwenye utafutaji huu ni ukweli mchungu coz wako maskini sana ni vile kwao kumiliki ardhi na uje upate ni ngumu sana tofauti na tzn ndio maana ukizaliwa maskini huko kutoboa ni ishu na uhalifu lazima uwe juu ni kama arusha inakopi hali hiyo.
Na mnatamani serikali yetu itoe ruhusa ili mmiliki ardhi

Kwa hilo wewe sahau umiliki ardhi kama nani wakati wewe ni mgeni tu wakuja na kusepa zako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kisa kwenu amruhusiwi kumiliki ardhi ndo maana mlikuwa mnatakat mkimbilie tz kwa hilo mmefeli vijana wa kunya landNa mnatamani serikali yetu itoe ruhusa ili mmiliki ardhi

Kwa hilo wewe sahau umiliki ardhi kama nani wakati wewe ni mgeni tu wakuja na kusepa zako

Sent using Jamii Forums mobile app
Cha ajabu hawaitamani over 500,000 hectares of idle land ya Kenyatta family! From simple ideology I can tell the idiot is a Kikuyu living in a squatter as a result of being squeezed out by historical land injustices! And yet he can never dare to utter a word against the "quo status".
 
Back
Top Bottom