Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Juzi hapa kunamkenya wa jf yupo hapa kwenye huu Uzi alisema uwanja wa ndege wa tz ni zaidi ya jkia nikamkumbusha mapema asisahau kupiga picha slum hadi Leo kashindwa hivyo wakenya kubalini MNA maisha duni sana nyinyi

Sent using Jamii Forums mobile app
Bro, mimi sina mda wa kuenda mahali nipige picha katika makaazi yao duni halafu nije hapa nianze kujipiga kifua ya kwamba hko maisha ni magumu na wakati nimefanya tu kuchagua sehemu mbovu mbovu ndio nifurahishe waja...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo kama haya utayapata nchi tajiri
aaaa.jpg
 
Wakenya wanaishi vipi kwenye mabanda ya mabati?????.jua likiwaka inakuwaje???
Huwa najiuliza sana pia. Kuna wakenya wanaishi hadi kwenye maboksi sasa mvua ikinyesha sijui inakuwaje???? Sitaki kucheka kwasababu ni daily struggles za wakenya ambao sauti zao hazisikiki. So sad.
 
Mbona imekuuma hivyo? Wacha kuwa bwege let's reality sets u free!
Boss, leo umenyoosha watu. Taxi za baiskeli kwenye the third city 😂 😂 😂 + slums kama zote yaani😂😂😂 I wish mwezi wa pili nilivyokuwa nairobay na mimi nigefanya tourism ya slums. Nikirudi lazima nifanye wacha sasa tuenjoy hizi zako.
 
Back
Top Bottom