Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Achana na huyo kilaza wa bongo. Anakubali kwamba Dar kuna mito and at the same time anakataa eti hizo mito hazina mamba. Kwani mama siku hizo wanaishi ndani ya visima?
We dogo inaonekana hata shule hukuenda katu
Dar es salaam ina maji ya chumvi kiasili,tangu lini mamba akakaa katika maji ya chumvi..Dar yote huwezi kumkuta mamba,labda kuanzia mikoa ya iringa na kuendelea huko,usijidhalilishe Mr.natural calamities
 
Floods are natural calamities that hit even the most developed cities around the world. Who said Nairobi should be an exception? Ila nyinyi mibongolala you think you live in heaven where where such things can't happen. Mnabaki mkipinga kila kitu
Here is parts of Paris submerged in flood waters
View attachment 1282253View attachment 1282254View attachment 1282255View attachment 1282256

Leo mungiki ndo inatambua kuwa floods ni natural calamities👆👆👆👆👆

Hata sisi watanzania tulijitahidi sana kuwaelimisha hili suala,naona somo limeingia vizuri kabisa
 
aliyekuambia huku maji hukaa mda mrefu ni nani..?...

na kaa ukijua sehemu ambayo hujaa maji ni hapo tu kwenye mto msimbazi na hiyo yote kwa sababu ya mto na maji yenyewe hujaa katikati tu ya huo mto.......
Mto msimbazi siku hz upo cbd...sasawa
 
Labda uniambie we ubaya wa hzo pic tena ni magorofa yaliopangika vzr sana hehe wewe tatizo laki unahangaika bure tu na nishakwambia punguza mihemko
Km huoni matatizo hapo basi utakua ubongo wako una matatizo
 
Back
Top Bottom