Ya mwaka gani maana naona hiace matatu wakat zina miaka 20 toka kuzuiliwa kufanya kazi mjini![]()

Nenda katoe mamba wako pale posta, inahatarisha maisha ya wadanganyika wenzako
View attachment 1281029

njoo uwatoe wewe maana mimi siwaoni
huwa sizungumzi vitu vya kipuuzi,,hebu mkadebate na watoto kuhusu hilo....Vipi kuhusu mamba mkuu..mmeshawadhibiti
Sindio maana umemuuliza hapa huku nicheke yani hawa jamaa wasifkiri hii ni ile dar ya 90s😀😀😀Hata Benjamin Mkapa tower ilikua Bado under construction![]()
aliyekuambia huku maji hukaa mda mrefu ni nani..?...Nairobi barabara hazifungwi km hko kwenu, wacha ubishi wa kijinga..
Drainage iko poor lkn haiweki maji kw mda mrefu vile km hko kwenu...
Hadi magari ya brt huaga hayafanyi kazi
22 years ago indeed 😂 😂Hebu nidanganye mm kuna jengo gani hapo lipo Mombasa sasa hvi hapa halipo😀😀😀 hapo mpaka English point marina naiona na imefunguliwa mwaka uliopitaView attachment 1282134
Unaangaika kumjibu huyo mbu mbu mbu anayelazimisha na mwenzake eti Dar kuna mto wenye mamba 😂😂😂aliyekuambia huku maji hukaa mda mrefu ni nani..?...
na kaa ukijua sehemu ambayo hujaa maji ni hapo tu kwenye mto msimbazi na hiyo yote kwa sababu ya mto na maji yenyewe hujaa katikati tu ya huo mto.......
mkuu,usisumbuke kuijadili ile picha.....we ipotezeeNairobi Naifahamu hadi vichochoroni,
Hivi unadhani ukiandika ujinga mrefu ndio utakuwa na maana,
Siku nyingine before upost kitu make sure umefanya uchunguzi kwanza la sivyo utaaibika maana huwa nakaba hadi penati,
Nasubiri useme huo mto wenye mamba wanaozagaa mitaani uko sehemu gani![]()
Mto Msimbazi ndani ya cbd 😂 😂 😂aliyekuambia huku maji hukaa mda mrefu ni nani..?...
na kaa ukijua sehemu ambayo hujaa maji ni hapo tu kwenye mto msimbazi na hiyo yote kwa sababu ya mto na maji yenyewe hujaa katikati tu ya huo mto.......
Mm nataka unioneshe ubaya wa hzo pic yani unamaanisha kwamba ni slum au??😀😀😀
Ilikua mwaka gani hzo pic ???
Alafu atuambie hayo mafuriko ni ya lini 😂😂😂Mm nataka unioneshe ubaya wa hzo pic yani unamaanisha kwamba ni slum au??😀😀😀
Hawezi kukujibu unajua kwann sasa hvi Nairobi kuna Mafuriko mabaya sana 😀😀😀😀Alafu atuambie hayo mafuriko ni ya lini 😂😂😂
Ni wapi nimetaja neno slum? Mbona unajishuku kijana wa Tandale? So ni wewe ulisema kwamba picha nilileta ni zaa 22 years ago?Mm nataka unioneshe ubaya wa hzo pic yani unamaanisha kwamba ni slum au??😀😀😀
Wacha kutumia ubongo kama bakuli. Mafuriko hutokea wakati wa mvua. Hata mwaka huu mafuriko yaliripotiwa DarIlikua mwaka gani hzo pic ???
Labda uniambie we ubaya wa hzo pic tena ni magorofa yaliopangika vzr sana hehe wewe tatizo laki unahangaika bure tu na nishakwambia punguza mihemko😀😀😀😀😀Ni wapi nimetaja neno slum? Mbona unajishuku kijana wa Tandale? So ni wewe ulisema kwamba picha nilileta ni zaa 22 years ago?