Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nishakuletea thibitisho kwamba Dar kulitokea Mafuriko May mwaka huu but you brushed them off saying tuko December. What else do you want? About miundombinu nishawaletea hadi picha za Mafuriko Paris which is a developed City. Having good infrastructure doesn't mean you can't experience such problems
Unakumbuka miezi michache iliyopita mafuriko ya Dar mkawa mnaongea ujinga tukawaambia natural calamities hutokea popote then tulileta hadi picha za mafuriko ya ulaya mkawa mnabisha huku mkijisahau kuwa mvua bado haikuanza kunyeesha Nairobi
Kuweni humble wakenya 😂😂😂
 
kwa kweli sijawahi ona jiji kama hilo yaani nairobi kila kona ni beach rain tu. . huu upumbavu wa wakenya kwa kweli ni wa hali ya juu
Hata mimi sijawahi ona kama hii
maf.jpeg
DSC_1097.jpg
6c05a02c6bfc3dd490609d52f747b766.jpg
floods2.jpg
DSC_1097.jpg
Floods+pic.jpg
DSC_1107.jpg
 
Unakumbuka miezi michache iliyopita mafuriko ya Dar mkawa mnaongea ujinga tukawaambia natural calamities hutokea popote then tulileta hadi picha za mafuriko ya ulaya mkawa mnabisha huku mkijisahau kuwa mvua bado haikuanza kunyeesha Nairobi
Kuweni humble wakenya 😂😂😂
Us we don't live in denial. Hakuna mkenya anapinga kuwa baadhi ya sehemu Nairobi imefurika. Ila nyinyi mnaishi mkipinga kila kitu
 
Hahahah nakuambia tena,
Hivi unakumbuka mlivyokuwa mnatucheka na mafuriko ya Dar huku mkijisifu mna miundombinu mizuri ya kupitisha maji mkiwa mmesahau kuwa mvua haikuanza kunyeesha Nairobi, kiko wapi leo, mbona mafuriko kila kona Nairobi 😂😂😂
 
So morogoro and tanga ziko dar siku hzi??? Na kumbe ni 11 only

Wewe ni mjinga sana. Are you not the same bongolala ameleta picha ya tweet about flooding killing 130 people in Kenya? Is Kenya found in Nairobi?
 
Unajua unapoelimishwa elewa nimekwambia Tanzania hakujawah tokea mafuriko kuuwa watu wengi kiasi hicho over 150 people hili ni janga kubwa sana la taifa hope umeelewa
 
Mm nimekwambia tafuta floods Tanzania iliou watu zaidi ya 150

It's clearly written mafuriko na maporomoko. Landslide iliuwa watu zaidi ya 53 West Pokot meaning less than a hundred people have been killed by floods. And why are we talking about this anyway? Human life is precious. Whether it's a million people lost or just one person it's not worth debating
 
Unajua unapoelimishwa elewa nimekwambia Tanzania hakujawah tokea mafuriko kuuwa watu wengi kiasi hicho over 150 people hili ni janga kubwa sana la taifa hope umeelewa
Moja ya comment kwenye ule uzi walioufungua ili kucheka mafuriko ya Dar 👇👇👇
This year sijaona flood Nairobi,
Especially now naskia kuna mvua mob sana Kenya since last week,
Seems drainage zote zilifunguliwa
 
Unajua unapoelimishwa elewa nimekwambia Tanzania hakujawah tokea mafuriko kuuwa watu wengi kiasi hicho over 150 people hili ni janga kubwa sana la taifa hope umeelewa
Kubali kwamba we were talking about Dar and Nairobi floods hadi ulipoleta hiyo debate ya Kenya. I did not mention Tanzania anywhere kabla utaje Kenya
 
Nishakuletea thibitisho kwamba Dar kulitokea Mafuriko May mwaka huu but you brushed them off saying tuko December. What else do you want? About miundombinu nishawaletea hadi picha za Mafuriko Paris which is a developed City. Having good infrastructure doesn't mean you can't experience such problems
But but but nyie mlitusema Tazara na pale mto msimbazi kuwa miundombinu yetu mibovuuu, sas mbna hii imewakuta na miundombinu yenu boraa? Au ilikua kiki tuu
 
Lakn wakat haya mambo yanatokea Tz nyie huwa mnasema ni miundombinuu, ile Thika road enu mnayoisifia sahv imekua mto but now mnalialia hapa eti adi paris inatokea so now unaelewa haya sio mambo ya kukwepeka na muache kupga domo
Us we don't live in denial. Hakuna mkenya anapinga kuwa baadhi ya sehemu Nairobi imefurika. Ila nyinyi mnaishi mkipinga kila kitu
 
Kubali kwamba we were talking about Dar and Nairobi floods hadi ulipoleta hiyo debate ya Kenya. I did not mention Tanzania anywhere kabla utaje Kenya
Ahahahha nilijua lazma ugeuze matokeo😂😂
 
It's clearly written mafuriko na maporomoko. Landslide iliuwa watu zaidi ya 53 West Pokot meaning less than a hundred people have been killed by floods. And why are we talking about this anyway? Human life is precious. Whether it's a million people lost or just one person it's not worth debating
Maporomoko imesababishwa na nini elewa swali langu alaf jibu plzq😁😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom