Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,598
- 15,704
Peleka kelele hukooooo. Ni picha gani ya Dar haijawahi letwa hapaMkuu hii pcha mbn unairudia rudia sn au zmeisha mana cc tunatoa kinu tunaweka kinu ww umeng'ang'ania hii hii tu whatsup meen!!!
Peleka kelele hukooooo. Ni picha gani ya Dar haijawahi letwa hapaMkuu hii pcha mbn unairudia rudia sn au zmeisha mana cc tunatoa kinu tunaweka kinu ww umeng'ang'ania hii hii tu whatsup meen!!!
Hizi ni vitu tulifanya almost two decades ago. Nyinyi ndio mnaanza leo na unapiga kelele!!
Imetokea mwaka gani hii???
😂😂😂Vitu kama hivi mungiki wataishia kuviona kwenye tv tuView attachment 1281954View attachment 1281955View attachment 1281956View attachment 1281957View attachment 1281959
Ya mwaka gani maana naona hiace matatu wakat zina miaka 20 toka kuzuiliwa kufanya kazi mjini😀😀😀
Duh mwaka wa 22 huu tangu daladala zikatazwe kupga kazi mjini



Ile ya Mombasa ulileta hapa ni ya mwaka gani?Ya mwaka gani maana naona hiace matatu wakat zina miaka 20 toka kuzuiliwa kufanya kazi mjini😀😀😀

City tour 😂 😂 😂Hahaha hiyo mamba inafanya nini dar cbd.![]()
Mbn walishafanya two decades agoVitu kama hivi mungiki wataishia kuviona kwenye tv tuView attachment 1281954View attachment 1281955View attachment 1281956View attachment 1281957View attachment 1281959








😀Mbn walishafanya two decades agoView attachment 1282069View attachment 1282070View attachment 1282071
Hebu nidanganye mm kuna jengo gani hapo lipo Mombasa sasa hvi hapa halipo😀😀😀 hapo mpaka English point marina naiona na imefunguliwa mwaka uliopitaIle ya Mombasa ulileta hapa ni ya mwaka gani?
Hebu zoom unioneshe slum hapo kwa vile mzungu mjinga sana kaeka sattelite ya mabilioni hakuona slum dar😀😀😀😀😀😀