ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Sasa hatujapata mafuriko kipindi hichi na unajua sasa hvi kuna ukarabati mkubwa sana wa mto msimbazi na mtoto mingine au hujui😀😀😀Wacha kutumia ubongo kama bakuli. Mafuriko hutokea wakati wa mvua. Hata mwaka huu mafuriko yaliripotiwa Dar