Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Upanga naipea part ndogo tu ya Westland inaimaliza yote
tapatalk_1565775836103.jpeg
 
Umeonaee..eti ywauliza km hzo rivers umejuaje km kuna mamba
Achana na huyo kilaza wa bongo. Anakubali kwamba Dar kuna mito and at the same time anakataa eti hizo mito hazina mamba. Kwani mama siku hizo wanaishi ndani ya visima?
 
Back
Top Bottom