Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dah yani hii nchi inaskitisha sana haipiti mwaka haipiti miezi 6 lazma usikie gorofa limedondoka






Haya ndo yale majengo ya uyoga wanapiga nayo kelele humu!

Kuna hili pia, kitu kimelala. .

2230084_4618267_sh3_jpegd0f7e2b7eecad6f8974a3218b635c918.jpeg
 
Kwhyo unapinga km hakuna old town, kubali kwanza bana[emoji23][emoji23]
Ninachogombana na ww ndugu yako alisema new town Mombasa nimemwambia atuletee hapa mpaka leo haonekani akichangia tena😀😀😀 sasa umekuja ww umedandia treni kwa mbele
 
Ninachogombana na ww ndugu yako alisema new town Mombasa nimemwambia atuletee hapa mpaka leo haonekani akichangia tena😀😀😀 sasa umekuja ww umedandia treni kwa mbele
Huyo ni mbishi hadi huwa anasahau kuwa anabishania nini 😂😂😂 Ukiwaambia wathibitishe kitu hapo ndio umewakimbiza kabisa 😂😂😂
 
Ninachogombana na ww ndugu yako alisema new town Mombasa nimemwambia atuletee hapa mpaka leo haonekani akichangia tena[emoji3][emoji3][emoji3] sasa umekuja ww umedandia treni kwa mbele
Heheeee!!kwhyo umekubali km kuna old town[emoji23][emoji23]
Kubali yaishe bana[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom