ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Narudia kukuuliza imetokea lini hiiJangwani nyingine ndio hii hapa 😂 😂
Hii mtabomoa lini?
View attachment 1282292View attachment 1282297View attachment 1282298
Narudia kukuuliza imetokea lini hiiJangwani nyingine ndio hii hapa 😂 😂
Hii mtabomoa lini?
View attachment 1282292View attachment 1282297View attachment 1282298
Masters in denial. Haya basi Sema tena kwamba hiyo ni taarifa ya October ila sasa tuko DecemberHawezi leta 😂😂😂
Niletee ushahidi kua ni mwaka huu nasubiria😀😀
Kumbe eleven tu..... jenga la Taifa watu zaidi ya 130 kenya
Mafuriko imeua watu zaidi ya 130 Kenya nzima kitu ambacho haijawah tokea Tanzania
So morogoro and tanga ziko dar siku hzi??? Na kumbe ni 11 only
Tanzania floods kill five, leave around 2,500 homeless
Nairobi (AFP) May 17, 2019 - Flooding in Tanzania has killed five people and forced about 2,500 to flee their homes after a week of torrential rain in the country's south, an official said Friday.www.terradaily.com
Mbona unapenda Kuhamisha magoli hivi,Masters in denial. Haya basi Sema tena kwamba hiyo ni taarifa ya October ila sasa tuko December
landslide imesababishwa na nini??There's a difference between flooding and landslide
I though you said haiko??? Kumbe hata hujielewi!! Unataka kusema watu milioni moja ndo uje Mafuriko yapo. Kweli wewe Jinga typeKumbe eleven tu..... jenga la Taifa watu zaidi ya 130 kenya
Hahahah ukiona hvo ujue kuna sehemu nishakuna vzr😀😀😀😀😀Mbona unapenda Kuhamisha magoli hivi,
Yaani wewe ni mbishi hadi unasahau ni nini ulikuwa unabishania 😂😂😂
Mm nimekwambia tafuta floods Tanzania iliou watu zaidi ya 150I though you said haiko??? Kumbe hata hujielewi!! Unataka kusema watu milioni moja ndo uje Mafuriko yapo. Kweli wewe Jinga type
Halafu huwa hajishtukii yaani 😂😂😂Hahahah ukiona hvo ujue kuna sehemu nishakuna vzr😀😀😀😀😀
Landslide imesababishwa na nini???There's a difference between flooding and landslide
Ngoja leo anijibu landslide imesababishwa na niniHalafu huwa hajishtukii yaani 😂😂😂
Hapo atahamishia goli pengine 😂😂😂Ngoja leo anijibu landslide imesababishwa na nini
Popote alipo nipo😀😀😀😀😀Hapo atahamishia goli pengine 😂😂😂
Nishakuletea thibitisho kwamba Dar kulitokea Mafuriko May mwaka huu but you brushed them off saying tuko December. What else do you want? About miundombinu nishawaletea hadi picha za Mafuriko Paris which is a developed City. Having good infrastructure doesn't mean you can't experience such problemsUnaambiwa hiki wewe unandika hiki,
Mara sijui mna miundombinu mizuri ya kupitisha maji ona sasa namna mvua inavyo waumbua 😂😂😂
Endelea kuleta matukio yaliyopita ili ujifariji na current situation ya muda huu Nairobi 😂😂😂
👇👇👇👇👇👇👇👇Nishakuletea thibitisho kwamba Dar kulitokea Mafuriko May mwaka huu but you brushed them off saying tuko December. What else do you want? About miundombinu nishawaletea hadi picha za Mafuriko Paris which is a developed City. Having good infrastructure doesn't mean you can't experience such problems
Alaf anakuja mjinga hapa anatetea upuuzi wewe floods inaua watu zaidi ya 150 anaona ni kawaida tu