ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Haha miez hairudi nyuma unakwenda mbali leo hii tunazungumza floods ipo Kenya nzima maskini jubileeIs it not 2019? Jinga type!
Haha miez hairudi nyuma unakwenda mbali leo hii tunazungumza floods ipo Kenya nzima maskini jubileeIs it not 2019? Jinga type!
Mjinga ni wewe unayeleta matukio yaliyopita ili ujifariji na mafuriko ya Nairobi 😂😂😂Is it not 2019? Jinga type!
Kitu cha moto kabisaNaona sasa umechange gear hewani. Haya basi Nionyeshe ni wapi Nairobi Mafuriko hufikia hii level
View attachment 1282269View attachment 1282272View attachment 1282273View attachment 1282274View attachment 1282275
Swali ni Je, hospitali na ofisi hizi maeneo yakoje?
Tunafungua hizo nyuzi Kwa sababu mnapinga Kila kitu kibaya chenu. Hata hapa hivi bado mnapinga kwamba Dar siku hizi haitokei Mafuriko na kusisitiza kwamba hizo ni picha za miaka za nyuma ilhali hata huu mwaka mlikutwa na hayo majanga. Nikishaleta proof then bongolala wenu mmoja goes further and say ni taarifa za May ila sasa tuko December!!! WTF!! Must danganyikans oppose everything?Hakuna aliyekataa kuwa kuna natural calamities,
Huwa mafuriko yakitokea Dar huwa mnafungua nyuzi zenu za kijinga na kusema kuwa Dar kuna miundombinu mibovu alafu tukiwaambia ni natural calamities huwa hamkubali,
Leo mafuriko kila kona Nairobi ndio unakubali kuwa kuna natural calamities 😂😂😂
Kitu cha moto kabisa
Umeona vile dream houses hazipumui?? 😂 😂 😂Hii imetokea lini???
Mafuriko imeua watu zaidi ya 130 Kenya nzima kitu ambacho haijawah tokea TanzaniaNiambie ni wapi Nairobi Mafuriko imenyonga nyumba hadi kooni jinsi inavyofanya Dar. Magari kuangushwa Na maji ya mafuriko ni vitu za kawaida wakati wa Mafuriko hata huko glorified fishing village
mwaka huuHii imetokea lini???
Uniambie kwasababu ulivo mjinga hio ni jangwani na hzo nyumba zote zimebomolewa ndio maana nimekuuliza ni yalini hioUmeona vile dream houses hazipumui?? 😂 😂 😂
Zimenyongwa kweli kweli 😂
Niletee ushahidi kua ni mwaka huu nasubiria😀😀mwaka huu
Unaambiwa hiki wewe unandika hiki,Tunafungua hizo nyuzi Kwa sababu mnapinga Kila kitu kibaya chenu. Hata hapa hivi bado mnapinga kwamba Dar siku hizi haitokei Mafuriko na kusisitiza kwamba hizo ni picha za miaka za nyuma ilhali hata huu mwaka mlikutwa na hayo majanga. Nikishaleta proof then bongolala wenu mmoja goes further and say ni taarifa za May ila sasa tuko December!!! WTF!! Must danganyikans oppose everything?
Hawez kukuletea matukio ya sasa hvi hata siku moja😀😀😀😀😀Unaambiwa hiki wewe unandika hiki,
Mara sijui mna miundombinu mizuri ya kupitisha maji ona sasa namna mvua inavyo waumbua 😂😂😂
Endelea kuleta matukio yaliyopita ili ujifariji na current situation ya muda huu Nairobi 😂😂😂
Hawezi leta 😂😂😂Hawez kukuletea matukio ya sasa hvi hata siku moja😀😀😀😀😀
Naona sasa umechange gear hewani. Haya basi Nionyeshe ni wapi Nairobi Mafuriko hufikia hii level
View attachment 1282269View attachment 1282272View attachment 1282273View attachment 1282274View attachment 1282275
Swali ni Je, hospitali na ofisi hizi maeneo yakoje?

unajifurahisha sana mzee,,,,hiyo picha ni miaka mingi sana iliyopita jangwani hakuna makazi mda mrefu sana tulishabomoa huo mji kilichobaki ni mto tu na open space na kila siku huwa unaambiwa......ila inajifanya hauelewiJangwani nyingine ndio hii hapa 😂 😂Uniambie kwasababu ulivo mjinga hio ni jangwani na hzo nyumba zote zimebomolewa ndio maana nimekuuliza ni yalini hio
kwa kweli sijawahi ona jiji kama hilo yaani nairobi kila kona ni beach rain tu. . huu upumbavu wa wakenya kwa kweli ni wa hali ya juuKitu cha moto kabisa




