babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 12,904
- 34,903
Umeelewa ninachomuuliza mbu mbu mbu mwenzio au unarukia kureply,Umelielewa swali jomba, mbna unazidi kuwehuka hivi...
Nimekuuliza freshy, kati ya hzo hapo kw goole maps ni ngapi za dar...
Unatakiwa ujibu kiulaini tu, angalia sasa una bwabwaja kw kitu simple tu
Msaidie mjinga mwenzio kujibu ni mto gani uliopo Dar wenye mamba wanaosambaa mitaani.


