Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kitu iko kipo jikoni,mungiki taambia nini watu!
 

Attachments

  • FB_IMG_1573502293870.jpg
    FB_IMG_1573502293870.jpg
    187.6 KB · Views: 5
Nakumbuka miaka ya nyuma kulikua na plan ya cbd kibamba pale,ramani iko mpaka leo,wangeanzia pale ingekua poa sana
Kote tunajenga hii
ni serikali ya ujenzi tunachofanya Kwa sasa ni kusahihisha makosa ya miundo mbinu kwanza kafuriko yasitokee wakati wa mvua kwenye miundo mbinu yetu na maswala ya nishati ili bei ya Umeme iwe unit 4 Kwa tsh1000
 
Wakenya mnachekesha utawakuta cbd wamevaa suti utafikili Matajiri kumbe wanalala Kwa zoo la mavi bora shimo la chewa kuliko slum ndiyo maana mkenya kukuonyesha anapoishi ni mwiko ukitaka mkenya hakuite mbea muulizie anapo ishi lazima achukie, kwanini amjenvi nyumba nyinyi kima
Bwahahaaa....nimejenga mabati, nyumba ya nn wakati naishi kw bati langu freshy tu
 
Back
Top Bottom